Lucas
JF-Expert Member
- Dec 3, 2011
- 2,457
- 1,111
Ndugu zangu habari za shughuli?
Leo nimeamua kuja hapa kumtafuta ndugu yangu Erickb52. Taarifa za kiintelijensia nimesikia amefichwa sehemu ambayo mimi siijui.... naomba mwenye taaarifa anisaidie kumtafuta ili niweze kukamilisha mipango yangu ya kumpata mwallu. Baba V najua hawezi shughulikia hili maaana niliambiwa kuwa yeye ni mstaafu. Tafadhali.kokote uliko kaka yangu na mheshimiwa mwenyekiti Erickb52 naomba uje hapa na ukifika uninong'oneze ulikokuwa maana usiposema.nasema.kwa shemeji Chocs..... nasubiri salamu za Amyner pia.

Last edited by a moderator: