Haswaaaa be vere afraided!!!
![]()
Khaaa..!!!! we jamaa una matatizo makubwa kama ccm.. Yaani ulitaka niwakataze Members wangu hapa wasigongane ??? Sasa ndoa nilizowafungisha za kazi gani,na hizo dushelee watundikie makoti???Baba V alistaafushwa kwa manufaaa ya umma baada ya kuonekana analeta migongano
tu
...kumbe nani mwingine ajue zaidi yangu!hivi unafahamu mumeo aliko kweli?
Ahahahahaha...sina la kusemaMmiliki Pembe ndy huyu anawajaza mumewe ako "zialani" so far punde atakua "hazalani".
....takuchapa wewe
Khaaa..!!!! we jamaa una matatizo makubwa kama ccm.. Yaani ulitaka niwakataze Members wangu hapa wasigongane ??? Sasa ndoa nilizowafungisha za kazi gani,na hizo dushelee watundikie makoti???
Ah ah ah unaona? Mi nna ndoa humu hata hujui.kama nina ndoa sema.tu nimeiweka kiporo kwanza, hebu muulize Erickb52, yeye anajua na ndiye alinisaidia kupata mke ati
Ahahahahaha...sina la kusema
Bby....