hahaha hata ningempa na sababu asingekubalia sababu yenyewe maana na yeye ana sababu zake.....
mwallu ana nini tena yule msukuma?hivi una habari kuwa familia yote tulikuwa machimboni ndo 2merudi
hivi karibuni na kaka Erickb52 tumemwacha ili aandaae shamba letu
vyema kule mrerani, tambua hilo
Halafu laiti ungejua kuwa huyo unayemtaja anaishia na silabi ll hapo
ana.....................? itakula kwako majanga yatakupata
ni bora nikwambie mapema usijesema kuwa sikukwambia mie
Lucas
nimesoma ujumbe wako na nimeiona mipango yako ya kuipata mimi
hata hivyo,nachukua nafasi hii kukupa taarifa wewe na wengine wote ambao walikua hawafahamu kua mimi ni MTAWA
niko katika jumuia hii na nashiriki kwa maombi na shughuli zingine zinagusa wito wangu.
hivo basi,nashauri uangalie binti mwingine alie mwema maana na wewe lengo lako inaonekana jema tu
habari hii iwafikie Baba V na Erickb52 (sijui nani ni mwenyekiti halali kati yenu) Kaizer na DEMBA Heaven on earth Asprin ladyfurahia na wengine woteee
na kopi maalumu kabisa kwa Mentor......
Nani huyo?
Ahsante dada mtawa, mie najua tuaongea vizuri kweny pm..... halafu tutaweka mambo sawa
Erickb52 ni Mtanzania kabisaaaà, sema anatokea kikabila fulani ambacho wala hakieleweki!!!