Mwenyekiti wa CHADEMA - London aenguliwa wadhifa

Mwenyekiti wa CHADEMA - London aenguliwa wadhifa

Nakubaliana yote uliyosema mkuu wangu...naomba unifahamishe Milton Keynes ni mtaa?

Wewe unasema mie nimetoka Kilwa, Zitto katoka Kigoma, wapi na wapi mie na Zitto.
this is what google can do..thanks for education anyways.....
Milton Keynes

From Wikipedia, the free encyclopedia
Jump to: navigation, search
For Milton Keynes, the original village, see Milton Keynes Village.
Coordinates:
17px-WMA_button2b.png
52.039°N 0.757°W
[TABLE="class: infobox geography vcard, width: 23"]
[TR="class: mergedtoprow"]
[TD="colspan: 2, align: center"]Milton Keynes[/TD]
[/TR]
[TR="class: mergedtoprow"]
[TD="colspan: 2, align: center"]
Top to bottom, left to right: The Xscape and Theatre seen from Campbell Park, former railway works and new housing in Wolverton, Milton Keynes Central railway station, the Central Milton Keynes skyline, The Church of Christ the Cornerstone and Bletchley's high street "Queensway".[/TD]
[/TR]
[TR="class: mergedtoprow"]
[TD="colspan: 2, align: center"]
6px-Red_pog.svg.png
Milton Keynes​

6px-Red_pog.svg.png
Milton Keynes shown within Buckinghamshire
[/TD]
[/TR]
[TR="class: mergedtoprow"]
[TH]Area[/TH]
[TD]89 km[SUP]2[/SUP] (34 sq mi)[/TD]
[/TR]
[TR="class: mergedtoprow"]
[TH]Population[/TH]
[TD]195,687 (2008 estimate)[SUP][1][/SUP][/TD]
[/TR]
[TR="class: mergedrow"]
[TH] - Density[/TH]
[TD]2,199 /km[SUP]2[/SUP] (5,700 /sq mi)[/TD]
[/TR]
[TR="class: mergedtoprow"]
[TH]OS grid reference[/TH]
[TD]SP841386[/TD]
[/TR]
[TR="class: mergedbottomrow"]
[TH] - London[/TH]
[TD] 47.9 miles (77.1 km)[/TD]
[/TR]
[TR="class: mergedrow"]
[TH]Unitary authority[/TH]
[TD]Borough of Milton Keynes[/TD]
[/TR]
[TR="class: mergedrow"]
[TH]Ceremonial county[/TH]
[TD]Buckinghamshire[/TD]
[/TR]
[TR="class: mergedrow"]
[TH]Region[/TH]
[TD]South East[/TD]
[/TR]
[TR="class: mergedrow adr"]
[TH]Country[/TH]
[TD="class: country-name"]England[/TD]
[/TR]
[TR="class: mergedrow"]
[TH]Sovereign state[/TH]
[TD]United Kingdom[/TD]
[/TR]
[TR="class: mergedtoprow"]
[TH]Post town[/TH]
[TD]MILTON KEYNES[/TD]
[/TR]
[TR="class: mergedrow"]
[TH]Postcode district[/TH]
[TD]MK1–15[/TD]
[/TR]
[TR="class: mergedrow"]
[TH]Dialling code[/TH]
[TD]01908[/TD]
[/TR]
[TR="class: mergedtoprow"]
[TH]Police[/TH]
[TD]Thames Valley[/TD]
[/TR]
[TR="class: mergedrow"]
[TH]Fire[/TH]
[TD]Buckinghamshire[/TD]
[/TR]
[TR="class: mergedrow"]
[TH]Ambulance[/TH]
[TD]South Central[/TD]
[/TR]
[TR="class: mergedtoprow"]
[TH]EU Parliament[/TH]
[TD]South East England[/TD]
[/TR]
[TR="class: mergedrow"]
[TH]UK Parliament[/TH]
[TD]Milton Keynes North[/TD]
[/TR]
[TR="class: mergedrow"]
[TH][/TH]
[TD]Milton Keynes South[/TD]
[/TR]
[TR="class: mergedtoprow"]
[TH]Website[/TH]
[TD]Milton Keynes Council - Milton Keynes Council[/TD]
[/TR]
[TR="class: mergedtoprow"]
[TD="class: hlist, colspan: 2, align: center"] List of placesUKEnglandBuckinghamshire[/TD]
[/TR]
[/TABLE]
Milton Keynes ([SUP]i[/SUP]/ˌmɪltən ˈkiːnz/ mil-tən-KEENZ), sometimes abbreviated MK, is a large town in Buckinghamshire, about 45 miles (72 km) north-west of London. It is the administrative centre of the Borough of Milton Keynes. It was formally designated as a new town on 23 January 1967, with the design brief to become a 'city' in scale.
At designation, its 89 km[SUP]2[/SUP] (34 sq mi) area incorporated the existing towns of Bletchley, Wolverton and Stony Stratford along with another fifteen villages and farmland in between. It took its name from the existing village of Milton Keynes, a few miles east of the planned centre.
At the 2001 census the population of the Milton Keynes urban area, including the adjacent Newport Pagnell, was 184,506, and that of the wider borough, which has been a unitary authority independent of Buckinghamshire County Council since 1997, was 207,063 (compared with a population of around 53,000 for the same area in 1961).[SUP][2][/SUP] The Borough’s population at the 2011 census was 248,800,[SUP][3][/SUP] with almost all the increase arising in the urban area.
 
Mara ya mwisho nimekutana na Chris Lukosi, Milton Keynes akifungua tawi la Chadema. Walikuwa wanatokea Reading kufunga tawi la Chadema.

Leo tena kafukuzwa Chadema bana.. Chilisosi, upooo!!

Ritz,
Unashangaa nini bana,
Hiyo ilikuwa ni MOVEMENT for CHANGE, ndiyo maana walikuwa wana MOVE from one place to another. Baada ya kuanzia kwenye Thatched pub pale Barking. Chris ameamua kuikamilisha kwa ku-CHANGE kabisa.

Nilipiga kelele sana hii issue ya matawi ya vyama ughaibuni na haya ndiyo matokeo yake.

Walimwingiza mkenge hata Gobless Lema kwa kumpeleka kule kunakouzwa used Chopper na kupiga picha, halafu wakatundika kwenye mitandao na kusema eti ameenda kuangalia chopper ili chama kinunue. Total garbage
 
dah, hii taarifa imeandaliwa kwa umakini na imebeba ujumbe mkubwa sana kw a ndugu Chris Lukosi

sasa nimeamini msemo usemao 'maneno huumba'

all the best CDM UK & Chris lukosi
 
Mkuu kuna ubaya mtu ukiwa Chadema kufanya biashara na serikali?

Hakuna ubaya kama wewe ni 'fulani' ndani ya CHADEMA kufanya biashara na serikali kwa sababu kuna wakina 'fulani' ndani ya chama wana fanya biashara na serikali na hawajafukuzwa achilia mbali kuondolewa katika uongozi kama kilichomfukizisha Chris Lukosi ni hicho.
 
Mkuu Ng'wamapalala,
Kuna vitu vingi vimejificha lakini sio muda mrefu Chris Lukosi, atafunguka.

Kuna tetesi kuwa Lema anatafutwa na polisi Uingereza, inasemekana Chris ndio aliyemtumia Invitation letter for UK vistor Viza.

Wazee wameanza kumsumbua huku UK.
 
Last edited by a moderator:
Mkuu Ritz,

Hujui kama biashara ina faida na hasara. Hata siasa nazo ni hivyo hivyo.

Kwenye siasa, faida ina neema zake na hasara ina adhari zake na natumaini kabla ya investment yake alitambua hilo.

Matusi ni moja ya athari za hasara kwenye hiyo investment ya kisiasa. Kama ni kweli amenunuliwa kwa tenda za serikali kama zinavyodaiwa hapa basi hiyo athari haiwezi kuwa athari endelevu kwa vile siyo muda mrefu ataanza kuneemeka tena.

Chris Lukosi kama mfanyabiashara alichofanya kwa sasa ni kuondoa investment yake ya kisiasa kutoka CHADEMA ambako labda amepata low revenue increment na yuko njiani kupeleka sehemu ambayo anatumaini atapata high return to his investment.

Hizi ndiyo siasa za 'bongo'.

Politics and business don’t mix. Kuna jamaa alikuwa anamiliki bar akawa anatumia blogu yake kuandika maoni yake kuhusu illegal immigration. Blogu yake ikawa hot sana and trended on Twitter.

Lakini hiyo trending haikuwa PR nzuri kwa biashara yake. Illegal immigrants and their friends waliokuwa wanakwenda kwenye hiyo pub, hawakwenda tena. Mbaya zaidi wale waliokuwa wanamfagilia Twitter walikuwa hata hawaji kwenye pub yake kummunga mkono na wale waliokuwa wanapinga immigration hawakuta kujulikana wazi kitaani kwa kwenda kwenda kwenye hiyo pub. And when his business was collapsing, the government didn't step in to help him. Sina haja ya kulezea what happened next.

The problem with leading with your politics ni kwamba utakuwa unajichagulia mwenyewe (self-select) nani afanye biashara na wewe. Unapojenga uhusiano na watu kama marafiki, colleagues, prospects, clients, n.k, look for what you have in common, not what will keep you apart.

Kama Toby Bloomberg alivyouliza: “What does watching football games, a fractured foot, a party gal, a nap, late night lattes, a hotel PA system, and eating cheesecake have in common?” Unafikiri ni kwa nini watu wana-bond zaidi kwenye michezo na kusoma vitabu than donkeys and elephants?

Kama jamaa is a rising businessman, the first mistake aliyofanya ni kujiunga na siasa za Chadema. Kwamba kwenye biashara yake angependa ku-deal zaidi na clients ambao ni “mamba” kuliko “kenge”.

He is probably about to make the next mistake ambapo aliowaita “kenge” ndiyo watakuwa potential clients na “mamba” watajiju. Lakini “kenge” na “mamba” si part and parcel ya jamii moja? Unless you have already made it, if you want to attract clients, a business person should always reserve his/her political opinions.
 
Mkuu Ng'wamapalala,
Kuna vitu vingi vimejificha lakini sio muda mrefu Chris Lukosi, atafunguka.

Kuna tetesi kuwa Lema anatafutwa na polisi Uingereza, inasemekana Chris ndio aliyemtumia Invitation letter for UK vistor Viza.

Wazee wameanza kumsumbua huku UK.

Kwa wenzetu hapa (polisi), unapoingia kwenye system kama 'mienendo' yako inatia mashaka, wanaanza kwanza kukokotoa kabla hawajafikia tamati. Tusubiri yetu macho na masikio.

It's sad kwa CHADEMA UK kuongozwa 'ki-mission town' na swaga kibao wakati ni debe tupu. The reality is catching on.

Siamini hata hao 'viongozi' kama wanaijua katiba ya chama, kanuni na taratibu za chama wanachokiongoza.
 
acha uongo tangu lini mtu kama wewe ukaipenda chadema? hebu acha unafiki. halafu inaoneakana unaakili sana lakini uwezo wako wa kufikiri ni mdogo
Mie naipenda sana chadema lakini wanachonikatisha tamaa ni kuwa hawapendi kukosolewa na ni very agreasive ukija kwenye ukweli , na kama wakiendelea hivi basi hiki chama hakina muda kitakufa kwa sababu kila mtu akiingia anakuwa hajui yuko wapi. Ukiangalia kwa karibu sana utaona kila mchaga anajiona kuwa yeye ndio chadema kuliko hata wale waliokianzisha chama, kisa ni mchaga. Pia Chadema imejaa watu wengi ambao wamepigika kimaisha na wanategemea chadema ndio iwachomoe hapo walipo. Kwa sasa nadhani ni bora CCM iendelee kutawala kuliko kuachia chama ambacho ukiondoa mbowe, lisu, slaa, zito na wabunge wengine walioko bungeni nje ya hapo chadema kuna njaa kali sana ambayo ukiwapa chakula watakula hadi sufuria.
Lukosi nasikia alishtukia hayo ndio maana akaamua kuhama chadema sema jamaa wameshtuka na kuamua kutangaza kabla hajawatema.
 
Mkuu Ng'wamapalala,
Kuna vitu vingi vimejificha lakini sio muda mrefu Chris Lukosi, atafunguka.

Kuna tetesi kuwa Lema anatafutwa na polisi Uingereza, inasemekana Chris ndio aliyemtumia Invitation letter for UK vistor Viza.

Wazee wameanza kumsumbua huku UK.

Mkuu,

Kama nakuelewa unamaanisha kwamba Lema amezamia UK na kwa kuwa Chris Lukosi ndie alidhamini utembezi wake basi yeye ndie anaesumbuliwa na polisi au UK Border Agency kwa kuwa Lema haonekani kama ameondoka, je unamaanisha hivi?

Ikiwa ni polisi ni criminal matter lakini kama ni uhamiaji basi ni uzamiaji.

Unaweza kufafanua kidogo?
 
Nimeamini kila mtu ndani ya Chadema ananunulika, tatizo bei.

Kupitia kwako nimeamini CCM hujitahidi kununua watu wenye njaa na tamaa,kumbe hata wewe umenunuliwa!BTW kila post moja inayotaja CDM unalipwa bei gani?
 
Wenye bei wote watanunuliwa na CCM hivyo kutusafishia CHAMA tutabaki na wale tu ambao hawana bei na hawako tayari kununuliwa!
 
Politics and business don’t mix. Kuna jamaa alikuwa anamiliki bar akawa anatumia blogu yake kuandika maoni yake kuhusu illegal immigration. Blogu yake ikawa hot sana and trended on Twitter.

Lakini hiyo trending haikuwa PR nzuri kwa biashara yake. Illegal immigrants and their friends waliokuwa wanakwenda kwenye hiyo pub, hawakwenda tena. Mbaya zaidi wale waliokuwa wanamfagilia Twitter walikuwa hata hawaji kwenye pub yake kummunga mkono na wale waliokuwa wanapinga immigration hawakuta kujulikana wazi kitaani kwa kwenda kwenda kwenye hiyo pub. And when his business was collapsing, the government didn't step in to help him. Sina haja ya kulezea what happened next.

The problem with leading with your politics ni kwamba utakuwa unajichagulia mwenyewe (self-select) nani afanye biashara na wewe. Unapojenga uhusiano na watu kama marafiki, colleagues, prospects, clients, n.k, look for what you have in common, not what will keep you apart.

Kama Toby Bloomberg alivyouliza: “What does watching football games, a fractured foot, a party gal, a nap, late night lattes, a hotel PA system, and eating cheesecake have in common?” Unafikiri ni kwa nini watu wana-bond zaidi kwenye michezo na kusoma vitabu than donkeys and elephants?

Kama jamaa is a rising businessman, the first mistake aliyofanya ni kujiunga na siasa za Chadema. Kwamba kwenye biashara yake angependa ku-deal zaidi na clients ambao ni “mamba” kuliko “kenge”.

He is probably about to make the next mistake ambapo aliowaita “kenge” ndiyo watakuwa potential clients na “mamba” watajiju. Lakini “kenge” na “mamba” si part and parcel ya jamii moja? Unless you have already made it, if you want to attract clients, a business person should always reserve his/her political opinions.

Mkuu EMT,
nakubaliana na wewe kwa hili labda kwa kuongezea zaidi, kuwa mfanyabiashara na mwanasiasa wa upinzani kwa Tanzania haiwezekani kupata mafanikio mazuri katika biashara hasa pale wateja wanakuwa ni Watanzania. We still have personal politics.

Hata Western Countries ambapo ndio mama wa demokrasia, wafanyabiashara wako so careful katika kudeal na issue ya politics kwa sababu wanajua ni mission impossible. Kwa sababu historia inaonyesha kuwa they'll end up being a losser.

Kwani Tanzania hatuna wafanya biashara wengi wakubwa wanaoipenda CHADEMA au vyama vingine kwa sera na itikadi zake?. Ninatumaini wapo wengi tu lakini hawawezi kuonyesha affiliation kwa CHADEMA au vyama vingine otherwise, wataishia kufilisika kwa sababu bado biashara za Tanzania zinaihitaji sana serikali badala ya serikali kuzihitaji sana biashara kama ilivyo katika nchi za Magharibi.
 
Mie naipenda sana chadema lakini wanachonikatisha tamaa ni kuwa hawapendi kukosolewa na ni very agreasive ukija kwenye ukweli , na kama wakiendelea hivi basi hiki chama hakina muda kitakufa kwa sababu kila mtu akiingia anakuwa hajui yuko wapi. Ukiangalia kwa karibu sana utaona kila mchaga anajiona kuwa yeye ndio chadema kuliko hata wale waliokianzisha chama, kisa ni mchaga. Pia Chadema imejaa watu wengi ambao wamepigika kimaisha na wanategemea chadema ndio iwachomoe hapo walipo. Kwa sasa nadhani ni bora CCM iendelee kutawala kuliko kuachia chama ambacho ukiondoa mbowe, lisu, slaa, zito na wabunge wengine walioko bungeni nje ya hapo chadema kuna njaa kali sana ambayo ukiwapa chakula watakula hadi sufuria.
Lukosi nasikia alishtukia hayo ndio maana akaamua kuhama chadema sema jamaa wameshtuka na kuamua kutangaza kabla hajawatema.
Wewe uipende Chadema wewe!
 
Ushahidi ni mkubwa kaka, wee subiri kuna mambo mazito tutayaanika hapa, sie hatuwezi kukubali kiongozi wetu atukanwe bila kujibu. au subirini mwenyewe nasikia atafanya press release jumamosi
KIongozi wenu yupi?kwani wewe nae uko CDM?mbona u kigeugeu wewe?
 
Nimekuta hii coments kutoka mjengwa blog....
blank.gif
Kijijini Bariadi said...Wajameni,
Hili nukuu limenitoa jasho, na ukilisoma kwa jicho moja unaweza usipate cha maana lakini kumbe kuna mengi yamejificha.
".......i) Sisi sote ni ndugu, tatizo ni CCM
ii) Kila kwenye msafara wa mamba na kenge wamo
Uongozi unamwakikishia Mr Christopher Lukosi kwamba mamba wote wa CHADEMA UK kwa kushirikiana na wote wenye kuelewa mageuzi ya kweli
, tutaliondoa tatizo ifikapo 2015. Tunamtakia kila la kheli katika maisha na ni imani yetu tutaendelea kuwa ndugu yake baada ya tatizo kutatuliwa !!!!.".

1) Kweli ninyi nyote ni ndugu?, na kivipi?(Ki-pub, ki-chama, ki-kabila, ki-nchi)
2) Nani ni mamba na nani ni kenge?. Aliyeanzisha tawi au waliofuata mkumbo kama bendera
3) Ni tatizo lipi hilo mnalotaka kuliondoa ifikapo mwaka 2015?. La mamba au kenge au la CCM kama chama.

Tatizo la mamba na kenge labda yes, lakini tatizo la CCM kwa siasa hizi mnazo zichagiza kwenye hii statement, sioni kama mtaliondoa.

Tatizo lenu, mnaendesha siasa za vijiweni huku mki spin kama everything is under control. Ilikuwa kila kukicha mko kwenye mitandao na picha kibao za kushashadia mkiwa happy huku mkitoa viapo vya kuisarambatisha CCM UK na magari ya kifahali. The time is catching on you guys.

Usomeni kwanza msahafu wa chadema (katiba) ili mpate guidance katika uendeshaji wa chama ili iwaongoze katika kanuni na taratibu za utendaji wa chama.

Mnakuwa na maneno matupu yanayovuma kama debe tupu linapopigwa na upepo kwa sababu mnakijenga chama kwa njia ya movement so don't be surprise kama watu watanza ku-move from one place to anaother kwa sababu huo ndiyo msingi wa chama kwa sasa (M4C).

I'm sorry for those guys who follow Chris Lukosi kwenye chama kama bendera fuata upepo. Chris, umewavisha mkenge wakati wewe ulikuwa na motive yako.

Bora sisi tulioamua kukaa kijijini bariadi.
 
Haya ni ya kweli kamanda lukosi! Sitaki kuamini macho yangu.
 
Politics and business don’t mix. Kuna jamaa alikuwa anamiliki bar akawa anatumia blogu yake kuandika maoni yake kuhusu illegal immigration. Blogu yake ikawa hot sana and trended on Twitter.

Lakini hiyo trending haikuwa PR nzuri kwa biashara yake. Illegal immigrants and their friends waliokuwa wanakwenda kwenye hiyo pub, hawakwenda tena. Mbaya zaidi wale waliokuwa wanamfagilia Twitter walikuwa hata hawaji kwenye pub yake kummunga mkono na wale waliokuwa wanapinga immigration hawakuta kujulikana wazi kitaani kwa kwenda kwenda kwenye hiyo pub. And when his business was collapsing, the government didn't step in to help him. Sina haja ya kulezea what happened next.

The problem with leading with your politics ni kwamba utakuwa unajichagulia mwenyewe (self-select) nani afanye biashara na wewe. Unapojenga uhusiano na watu kama marafiki, colleagues, prospects, clients, n.k, look for what you have in common, not what will keep you apart.

Kama Toby Bloomberg alivyouliza: “What does watching football games, a fractured foot, a party gal, a nap, late night lattes, a hotel PA system, and eating cheesecake have in common?” Unafikiri ni kwa nini watu wana-bond zaidi kwenye michezo na kusoma vitabu than donkeys and elephants?

Kama jamaa is a rising businessman, the first mistake aliyofanya ni kujiunga na siasa za Chadema. Kwamba kwenye biashara yake angependa ku-deal zaidi na clients ambao ni “mamba” kuliko “kenge”.

He is probably about to make the next mistake ambapo aliowaita “kenge” ndiyo watakuwa potential clients na “mamba” watajiju. Lakini “kenge” na “mamba” si part and parcel ya jamii moja? Unless you have already made it, if you want to attract clients, a business person should always reserve his/her political opinions.

Nashukuru umenipa mbinu ya kumnyima Rage ubunge,ni kuwahamasisha mashabiki wa Yanga Tabora kumnyima kura!
 
Back
Top Bottom