pstar01884
Senior Member
- Sep 26, 2010
- 117
- 47
Hahahaha... Njaa kareee! Nimefurahi inteligensia ya chama ilivyo makini. Hapo tunasema 'MISSION FAILED'
..... [Chadema [wat]aendelea kumkumbuka na hata kutumia misemo yake yenye maana nzito kwa jamii ya kitanzania, kama vile: -
i) Sisi sote ni ndugu, tatizo ni CCM
ii) Kila kwenye msafara wa mamba na kenge wamo
Kaaazi kweli kweli.
Nipo hapa nakusikia mkuu
Mie naipenda sana chadema lakini wanachonikatisha tamaa ni kuwa hawapendi kukosolewa na ni very agreasive ukija kwenye ukweli , na kama wakiendelea hivi basi hiki chama hakina muda kitakufa kwa sababu kila mtu akiingia anakuwa hajui yuko wapi. Ukiangalia kwa karibu sana utaona kila mchaga anajiona kuwa yeye ndio chadema kuliko hata wale waliokianzisha chama, kisa ni mchaga. Pia Chadema imejaa watu wengi ambao wamepigika kimaisha na wanategemea chadema ndio iwachomoe hapo walipo. Kwa sasa nadhani ni bora CCM iendelee kutawala kuliko kuachia chama ambacho ukiondoa mbowe, lisu, slaa, zito na wabunge wengine walioko bungeni nje ya hapo chadema kuna njaa kali sana ambayo ukiwapa chakula watakula hadi sufuria.
Lukosi nasikia alishtukia hayo ndio maana akaamua kuhama chadema sema jamaa wameshtuka na kuamua kutangaza kabla hajawatema.
Si wewe peke yako mnaoitakia Chadema kifo. Labda nikukumbushie tu ile hadithi ya fisi na mkono wa binadamu.
Farida,Mkuu hiki chama hakuna mwelekeo,
Hebu ona zito anavyotengwa laivu na wenzake, alikuja lema hapa UK akawa anamuambia Lukosi asiwasiliane na Zito wala asimuite kwenye mikutano kwa sababu ni nyoka ndani ya chama,
Mkuu hiki chama hakuna mwelekeo,
Hebu ona zito anavyotengwa laivu na wenzake, alikuja lema hapa UK akawa anamuambia Lukosi asiwasiliane na Zito wala asimuite kwenye mikutano kwa sababu ni nyoka ndani ya chama,
Farida,
Kama hayo uyasemayo yana ukweli basi kuna tatizo, tena kubwa tu.
Nipo hapa nakusikia mkuu
Kesho naenda ofisini kwangu kama kawaida, hiyo ndio ratiba yangu,
Nimeamini kila mtu ndani ya Chadema ananunulika, tatizo bei.