Mwenyekiti wa CHADEMA - London aenguliwa wadhifa

Mwenyekiti wa CHADEMA - London aenguliwa wadhifa

Wewe una manufaa gani zaidi ya kumsifia Dr Slaa na Mbowe.
bora mimi nasifia walio hai kuliko wewe unayesifia wafu (ccm) na wanaosafirisha nyara za umma na wewe ukiwamo
 
Makamanda nawaaminia hadi raha ndio maana napenda chadema pepooooooo poweeer
 
Nimeamini kila mtu ndani ya Chadema ananunulika, tatizo bei.

uzi wa mwanakijiji kuhusu ujana na urais mmeukimbia maana watu wenu wamezikana kauli zao..kawasaidieni kule
 
M4C na MASHUSHUSHU ngoma droo!

Uzuri umeona hii.

Watu wanakosea sana wanapoendelea kuamini UWT ni kwa ajili ya chama tawala tu kumbe hali sii hivyo kabisa.

Kwa karne hii ya 21 kuwa jasusi si lazima uajiriwe na serikali ya chama tawala unaweza kuwa "embedded" na harakati zozote na mahali popote.
 
Jamaa alijitolea sana kuitangaza Chadema Uingereza lakini leo kaambulia matusi.

Mkuu Ritz,

Hujui kama biashara ina faida na hasara. Hata siasa nazo ni hivyo hivyo.

Kwenye siasa, faida ina neema zake na hasara ina adhari zake na natumaini kabla ya investment yake alitambua hilo.

Matusi ni moja ya athari za hasara kwenye hiyo investment ya kisiasa. Kama ni kweli amenunuliwa kwa tenda za serikali kama zinavyodaiwa hapa basi hiyo athari haiwezi kuwa athari endelevu kwa vile siyo muda mrefu ataanza kuneemeka tena.

Chris Lukosi kama mfanyabiashara alichofanya kwa sasa ni kuondoa investment yake ya kisiasa kutoka CHADEMA ambako labda amepata low revenue increment na yuko njiani kupeleka sehemu ambayo anatumaini atapata high return to his investment.

Hizi ndiyo siasa za 'bongo'.
 
Mara ya mwisho nimekutana na Chris Lukosi, Milton Keynes akifungua tawi la Chadema. Walikuwa wanatokea Reading kufunga tawi la Chadema.

Leo tena kafukuzwa Chadema bana.. Chilisosi, upooo!!

UK wapi wewe,una-google majina ya mitaa ya uingereza na kutuletea jamvini,we m.b.wiga wa lindi tu
 
Kla anayekwamisha mabadiliko popote alipo anapaswaz kushughulikiwa bila kuchelkeweshwa.
 
Mkuu Chris Lukosi,

Una lolote la kusema hapo maana umekuwa kimya mno tokea jana, pale habari hii ilipowekwa humu jamvini.

Si unafahamu kwa taratibu za itifaki ni kwamba inabidi ujibu ile taarifa ya kwa uncle Michuzi.
 
UK wapi wewe,una-google majina ya mitaa ya uingereza na kutuletea jamvini,we m.b.wiga wa lindi tu

ha haa haa ha..dogo angalia unajiabisha humu JF watu wanakucheka...Milton Keynes eti mtaa.

Wewe umetoka Kishimundu umeishazoea kusikia London ukisikia miji mingine unashangaa.

Ngoja nikupe darsa wewe lukurunguru Milton Keynes ndio mji ambao wanaishi Watanzania wengi na wengine wamejiripua.
 
ha haa haa ha..dogo angalia unajiabisha humu JF watu wanakucheka...Milton Keynes eti mtaa.

Wewe umetoka Kishimundu umeishazoea kusikia London ukisikia miji mingine unashangaa.

wanicheke sababu sijui mikoa ya UK?mimi uingereza naiona kwenye premier league lakini usituletee kamba humu we mmatumbi wa kilwa kivinje umetoka kwenu huko ulivofika mbagala ukaseto,mara moja kwa miezi sita unaenda feri kushangaa maji..nenda kwenye uzi wa MMM..ujana na urais,mdogo ako zitto kaikataa kauli yake ya ubaguzi kwa wazee,eti alikuwa anatania
 
Mkuu Ritz,

Hujui kama biashara ina faida na hasara. Hata siasa nazo ni hivyo hivyo.

Kwenye siasa, faida ina neema zake na hasara ina adhari zake na natumaini kabla ya investment yake alitambua hilo.

Matusi ni moja ya athari za hasara kwenye hiyo investment ya kisiasa. Kama ni kweli amenunuliwa kwa tenda za serikali kama zinavyodaiwa hapa basi hiyo athari haiwezi kuwa athari endelevu kwa vile siyo muda mrefu ataanza kuneemeka tena.

Chris Lukosi kama mfanyabiashara alichofanya kwa sasa ni kuondoa investment yake ya kisiasa kutoka CHADEMA ambako labda amepata low revenue increment na yuko njiani kupeleka sehemu ambayo anatumaini atapata high return to his investment.

Hizi ndiyo siasa za 'bongo'.

Mkuu kuna ubaya mtu ukiwa Chadema kufanya biashara na serikali?
 
Ikiwa ni takribani miezi minne tangu tawi la CHADEMA UK lifunguliwe rasmi na Mr Godbless Lema, kumekuwepo na maendeleo makubwa ya ujenzi wa tawi hili lakini vile vile kumekuwepo na changa moto mbali mbali kutokana na uelewa wa watu ktk dhana nzima ya M4C. M4C ikiwa na maana ya Movement for Change, ni sharti mtu yeyote anayeingia ktk movement hii kwenye ngazi ya uongozi aelewe haya machache ya msingi:

1)Kwanza aone matatizo yanayomgusa yeye na jamii yake

2)Ajue na kutambua fika chimbuko la matatizo haya

3)Awe tayari kuwa kiini cha mabadiliko ya kweli anayoyataka kwa jamii

4)Aweze kutoa ufumbuzi kwa kukemea maovu, kuelimisha na hata yeye binafsi kuelimika

5)Ili afanikiwe ktk kipengele cha (4) ni sharti ajitambue yeye binafsi ya kwamba ni:

i)Lazima awe safi na mwenye sifa za kukemea waovu

ii)Aweke maslahi ya jamii mbele na si yake binafsi

iii)Awe na sifa za uongozi zinazotakiwa, nidhamu ikiwa nambari moja ktk orodha.

iv)Awe na msimamo wa kiitikadi

Kwa hiyo, uongozi wa CHADEMA UK kwa baraka za watetezi wa haki ya kweli (CHADEMA TZ) unawatangazia umma watanzania kokote mlipo kwamba kuanzia leo

tarehe 12/12/12, Mr Christopher Lukosi amevuliwa rasmi uongozi na amesitishwa uanachamakutokana na kutokidhi mengi ya yaliyotajwa hapo juu.

Uongozi wa CHADEMA UK unamshukuru sana kwa mchango na ushirikiano wake mkubwa kwa kipindi ambacho matundu ya chujio yalikuwa makubwa. Tutaendelea kumkumbuka na hata kutumia misemo yake yenye maana nzito kwa jamii ya kitanzania, kama vile: -

i)Sisi sote ni ndugu, tatizo ni CCM

ii)Kila kwenye msafara wa mamba na kenge wamo

Uongozi unamwakikishia Mr Christopher Lukosi kwamba mamba wote wa CHADEMA UK kwa kushirikiana na wote wenye kuelewa mageuzi ya kweli
, tutaliondoa tatizo ifikapo 2015. Tunamtakia kila la kheli katika maisha na ni imani yetu tutaendelea kuwa ndugu yake baada ya tatizo kutatuliwa !!!!.

"We fail in most of our endeavours because we too often underestimate People's Power" [M4C UK, 2012]
 
wanicheke sababu sijui mikoa ya UK?mimi uingereza naiona kwenye premier league lakini usituletee kamba humu we mmatumbi wa kilwa kivinje umetoka kwenu huko ulivofika mbagala ukaseto,mara moja kwa miezi sita unaenda feri kushangaa maji..nenda kwenye uzi wa MMM..ujana na urais,mdogo ako zitto kaikataa kauli yake ya ubaguzi kwa wazee,eti alikuwa anatania

Nakubaliana yote uliyosema mkuu wangu...naomba unifahamishe Milton Keynes ni mtaa?

Wewe unasema mie nimetoka Kilwa, Zitto katoka Kigoma, wapi na wapi mie na Zitto.
 
Mkuu Chris Lukosi,

Una lolote la kusema hapo maana umekuwa kimya mno tokea jana, pale habari hii ilipowekwa humu jamvini.

Si unafahamu kwa taratibu za itifaki ni kwamba inabidi ujibu ile taarifa ya kwa uncle Michuzi.
Hilo nalo neno kaka
 
Nakubaliana yote uliyosema mkuu wangu...naomba unifahamishe Milton Keynes ni mtaa?

Wewe unasema mie nimetoka Kilwa, Zitto katoka Kigoma, wapi na wapi mie na Zitto.
[h=1]this is what google can do..thanks for education anyways.....
Milton Keynes[/h] From Wikipedia, the free encyclopedia
Jump to: navigation, search
For Milton Keynes, the original village, see Milton Keynes Village.
Coordinates:
17px-WMA_button2b.png
52.039°N 0.757°W
[TABLE="class: infobox geography vcard, width: 23"]
[TR="class: mergedtoprow"]
[TD="colspan: 2, align: center"]Milton Keynes[/TD]
[/TR]
[TR="class: mergedtoprow"]
[TD="colspan: 2, align: center"]
Top to bottom, left to right: The Xscape and Theatre seen from Campbell Park, former railway works and new housing in Wolverton, Milton Keynes Central railway station, the Central Milton Keynes skyline, The Church of Christ the Cornerstone and Bletchley's high street "Queensway".[/TD]
[/TR]
[TR="class: mergedtoprow"]
[TD="colspan: 2, align: center"]
6px-Red_pog.svg.png
Milton Keynes​

6px-Red_pog.svg.png
Milton Keynes shown within Buckinghamshire
[/TD]
[/TR]
[TR="class: mergedtoprow"]
[TH]Area[/TH]
[TD]89 km[SUP]2[/SUP] (34 sq mi)[/TD]
[/TR]
[TR="class: mergedtoprow"]
[TH]Population[/TH]
[TD]195,687 (2008 estimate)[SUP][1][/SUP][/TD]
[/TR]
[TR="class: mergedrow"]
[TH] - Density[/TH]
[TD]2,199 /km[SUP]2[/SUP] (5,700 /sq mi)[/TD]
[/TR]
[TR="class: mergedtoprow"]
[TH]OS grid reference[/TH]
[TD]SP841386[/TD]
[/TR]
[TR="class: mergedbottomrow"]
[TH] - London[/TH]
[TD] 47.9 miles (77.1 km) [/TD]
[/TR]
[TR="class: mergedrow"]
[TH]Unitary authority[/TH]
[TD]Borough of Milton Keynes[/TD]
[/TR]
[TR="class: mergedrow"]
[TH]Ceremonial county[/TH]
[TD]Buckinghamshire[/TD]
[/TR]
[TR="class: mergedrow"]
[TH]Region[/TH]
[TD]South East[/TD]
[/TR]
[TR="class: mergedrow adr"]
[TH]Country[/TH]
[TD="class: country-name"]England[/TD]
[/TR]
[TR="class: mergedrow"]
[TH]Sovereign state[/TH]
[TD]United Kingdom[/TD]
[/TR]
[TR="class: mergedtoprow"]
[TH]Post town[/TH]
[TD]MILTON KEYNES[/TD]
[/TR]
[TR="class: mergedrow"]
[TH]Postcode district[/TH]
[TD]MK1–15[/TD]
[/TR]
[TR="class: mergedrow"]
[TH]Dialling code[/TH]
[TD]01908[/TD]
[/TR]
[TR="class: mergedtoprow"]
[TH]Police[/TH]
[TD]Thames Valley[/TD]
[/TR]
[TR="class: mergedrow"]
[TH]Fire[/TH]
[TD]Buckinghamshire[/TD]
[/TR]
[TR="class: mergedrow"]
[TH]Ambulance[/TH]
[TD]South Central[/TD]
[/TR]
[TR="class: mergedtoprow"]
[TH]EU Parliament[/TH]
[TD]South East England[/TD]
[/TR]
[TR="class: mergedrow"]
[TH]UK Parliament[/TH]
[TD]Milton Keynes North[/TD]
[/TR]
[TR="class: mergedrow"]
[TH][/TH]
[TD]Milton Keynes South[/TD]
[/TR]
[TR="class: mergedtoprow"]
[TH]Website[/TH]
[TD]Milton Keynes Council - Milton Keynes Council[/TD]
[/TR]
[TR="class: mergedtoprow"]
[TD="class: hlist, colspan: 2, align: center"] List of placesUKEnglandBuckinghamshire [/TD]
[/TR]
[/TABLE]
Milton Keynes ([SUP]i[/SUP]/ˌmɪltən ˈkiːnz/ mil-tən-KEENZ), sometimes abbreviated MK, is a large town in Buckinghamshire, about 45 miles (72 km) north-west of London. It is the administrative centre of the Borough of Milton Keynes. It was formally designated as a new town on 23 January 1967, with the design brief to become a 'city' in scale.
At designation, its 89 km[SUP]2[/SUP] (34 sq mi) area incorporated the existing towns of Bletchley, Wolverton and Stony Stratford along with another fifteen villages and farmland in between. It took its name from the existing village of Milton Keynes, a few miles east of the planned centre.
At the 2001 census the population of the Milton Keynes urban area, including the adjacent Newport Pagnell, was 184,506, and that of the wider borough, which has been a unitary authority independent of Buckinghamshire County Council since 1997, was 207,063 (compared with a population of around 53,000 for the same area in 1961).[SUP][2][/SUP] The Borough's population at the 2011 census was 248,800,[SUP][3][/SUP] with almost all the increase arising in the urban area.
 
Back
Top Bottom