Mwenyekiti wa CHADEMA - London aenguliwa wadhifa

Mwenyekiti wa CHADEMA - London aenguliwa wadhifa

Kaka ponda upo ???. Nasikia mamba wanakultea fujo kaka! Kaka hiyo tenda kuna shares? Au nisubiri kwenye kikao chetu chama cha makenge(ccm)? Ulishapata ratiba? Ebu muombe mayor wetu (mshauri wetu wa chama-uk). Yeye huwa anaongea na dr jk moja kwa moja. Nina hakika jk anafurahi kupata jembe kama wewe. Karibu nyumbani kaka mkosi

Sitaki kuonekana ninamtetea Chris Lukosi kwa sababu hata haijafahamika amesimamishwa unachama wa chama kwa sababu ipi/zipi.

Nimesoma thread zako nyingi katika huu uzi inaonekana kama siasa kwako ni personal kama ilivyo kwa Watanzania wengi in UK.

You seem to wage personal vendetta against him in a name of politics.

Kumbuka, uliikuta siasa na utaiacha siasa kama ulivyoikuta lakini matendo yako at the end yatakuwa judged.

I'm sorry. Tujaribu kubadilika.
 
[/QUO
Hilo nalo neno kaka
 
Jamaa amejipanga kujitetea humu JFkama kaonewa.Kaanzisha ID nyingi kuhakikisha anapost threads nyingi iwezekanavyo. Amewabadili wafanyakazi wake wa Seringeti kuwa wajibu hoja wake hapa JF. Lukosi unaongozwa sana na hisia za moyo wako kuliko akili. Umeonyeshwa ushahidi ukanywea! Ila tatizolako lingine ni kukosa aibu. You bank so much on your emotional strength (Hasira na wendawazimu) instead of using your brain to exercise your Judgements. I think you need to sober up! Dont you????
 
Inji itajengwa na kuporomoshwa wana inji wenyewe
 
Back
Top Bottom