Mwenyekiti wa CHADEMA - London aenguliwa wadhifa

Chama kikiwa uk au usa sijaona faida yake magamba wametutawala miaka yote nani mwakilishi wao katika mataifa makubwa mbona sijapata kusikia mwenyekiti wa sisiem uk toa pumba bana watu washachoka ,,mimi mwenyewe nina kadi ya ccm nilpewa enzi za ujinga nikiwa chuo bt kwa mda uhu ipo kabatini kama kumbukumbu
 
Kama huzielewi siasa za CCM za kushirikiana na Tiss kununua wapinzani utashangaa sana ! na kwa taarifa yako hakuna kitakachofanyika nyuma ya pazia ambacho CDM haitajua , hata JK analifahamu hilo , CCM ni hatari kuliko unavyofahamu , bali CDM imejipanga mno ni kama bahari , huwezi kuikausha ! Kwa leo naishia hapa .
 
Kwa kipengele hiki SLAA alipaswa kufukuzwa uanachama lakini anafukuzwa LUKOSI kwa kuwepo kwa TETESI kuwa anataka kuchukua kadi ya CCM, kwa mwenye akili atosema jambo hili ni la kupuuzwa na kuachwa bila kukemewa.

Huyo jamaa mnampa promo hata asizostahili. Inaelekea CCM mkilala huwa mnaota mnashikwa masaburi na huyu jamaa...??!!
 
kaaazi kweli kweli.

kila siku tunasema lakini kwa kuwa viongozi na wanachama wa cdm kazi yao ni matusi na vurugu wanashindwa pata muda wa kupokea maoni na kutafakari ukweli wanaoambiwa ..wanaona kama cdm ni malaika... Kwa watu wenye akili timamu na wapambanaji kweli hawawezi endelea baki cdm mara.... Nafikiri tayari wameshalamba posho na wamepata walichokuwa wanataka sasa wanaendeleza ule mfumo wao wa fukuzafukuza kama wanavyofanya tz kwa madiwani na viongozi wengine...... Hongera kwa kuangalia ukweli na kuepukana na uzushi na uongo na unafiki wa hiki chama cha dr.slaa ... Mi binafsi nakupongeza brother kila mtu anautashi wake na malengo yake ........ Hiki ni chama cha wendawazimu ambao hawajui wanaelekea wapi wametoka wapi...
 
Huyo jamaa mnampa promo hata asizostahili. Inaelekea CCM mkilala huwa mnaota mnashikwa masaburi na huyu jamaa...??!!

Hapa ndio utatofautisha vijana wa CCM na Vijana Wa CHADOMO kwenye mitandao hii ya kijamii.,wao wanalolijua kubwa ni kukashifu na kukebehi na kutukana matusi makubwa makubwa wakiamini hilo ndilo wanalopaswa kulifanya kwa niaba ya maelekezo ya chama chao na wakuu wao. Si jambo geni lakini pia si jambo linalofaa kuachwa likaendelea.,wakati mods wako busy kuangalia thread ipi inagusa maslahi ya "..THE ENTERPRISES.." wakiacha vijana hawa wakitamba kwa matusi kila kukicha..,naona ni kwa kiasi gani Great Thinkers wa JF wanaweza kufikiri...!
 
Katika Tukio la hivi karibuni ambalo limewavutia wengi hasa katika forums hii ni tukio la kufukuzwa kwa mwenyekiti wa chama cha Demokrasia na maendeleo (CHADEMA) nchini uingereza.,Bwana Christopher Lukosi. Hatua hiyo ambayo imefikiwa kutokana na kuwepo kwa TETESI kuwa Lukosi anataka kukihama Chama Hicho.

Kilichonifanya kuandika haya ni namna ya Tukio lenyewe lilivyotokea na aina ya mtu ambaye tukio hilo limemtokea ambaye ni LUKOSI.
Kwa wale ambao wanamfahamu Bwana huyu na harakati zake dhidi ya CCM na mikakati yake ya kuieneza na kuiimarisha CHADEMA nchini uingereza, lazima wapigwe na butwaa baada ya tukio hili.

Kwa ufupi ni kuwa tukio lenyewe limegubikwa na sintofahamu nyingi na makosa makubwa kikatiba na hata kidemokrasia;

  • Kikatiba, ni kuwa LUKOSI alikuwa na Haki za kujitetea na kutoa ushahidi juu ya tuhuma zinazomkabili na tetesi za yeye kutaka kuhamia CCM, katika Katiba ya CHADEMA toleo la 2006 katika Ukurasa wa 10, Sura ya Tano inaeleza juu ya UANACHAMA na kutaja haki za mwanachama kama ifuatavyo;
5.2 Haki za MwanaChama
Kila mwanachama ana haki ya:-
5.2.1 Kuchagua viongozi wa Chama wa ngazi anayohusika kwa mujibu wa katiba.
5.2.2 Kuchaguliwa kuongoza na kuwakilisha Chama katika ngazi yoyote kwa kuzingatia
masharti yaliyowekwa ya sifa za uongozi.
5.2.3 Kushiriki vikao vya Chama vinavyomhusu na kutoa mawazo yake kwa uhuru kwa
kuzingatia taratibu za vikao.
5.2.4 Kujitetea, kusikilizwa na kukata rufaa anaposhitakiwa ama kuchukuliwa hatua za
kinidhamu kichama.

Kwa kuzingatia kipengele hicho cha 5.2.4 cha Katiba ya CHADEMA, Lukosi hakutendewa haki kulingana na taratibu zilizochukuliwa dhidi yake na namna ya tukio la kufukuzwa kwake lilivyotokea.

  • Lakini Kwa Chama ambacho kinajinasibisha na DEMOKRASIA ( Kwa maana kila mmoja ana haki sawa kabla ya sheria ) hatua ya kumfukuza Mwenyekiti wa Tawi ambaye ametoa mchango kwa kiasi kikubwa kwa THREAD ndani ya JF sidhani kama ni jambo linalopaswa kuungwa mkono na wala halitoi tafsir nzuri kwa wafuasi wa Chama hiko wenye ufahamu wa “sawasawa”

Nataka kumpa pole LUKOSI lakini pia nataka kumwambia kuwa hivyo ndivyo walivyo.,ulitumia nguvu zako, maarifa yako na kiasi kikubwa cha pesa yako kuhakikisha kuwa CHADEMA inaimarika na inasimama ndani ya UK.,na hiyo ndiyo fadhila yao kwako…!
hakuna ubishi wala hakuna atakayekuja hapa kupinga wala kusema kinyume na haya ninayoyasema kuwa “..KABLA YAKO WEWE HAKUKUWA NA CHADEMA UK.’”

Pamoja na yote uliyoyatenda thamani yako ni kufukuzwa ndani ya chama hicho kwa THREAD ya JF.,tena bila vikao vya maadili kukujadili, bila kuitwa kujieleza na kupewa nafasi ya kujitetea bali kwa tuhuma tu zilitosha kukufuzisha kwa kuwa “..lao limetimia..” usishangae hivyo ndivyo walivyo.,yamekukuta hayo “..Simply because you don’t belong to them.,you are not one of them..” ulikuwa haujui kuwa ni nani ananafasi katika CHADEMA, ni nani hasa mwenyewe…!

Kwa nyakati tofauti nilipata kukutana na Goodluck Mboya na Sylvester Magabe ambao ni Unit Head katika Information and Communications Unit: lakini kila mmoja alitoa sifa za ki-mungu kwa LUKOSI kana kwamba bila yeye hakuna CDM UK.,wakamtaja kwa wema na kumsifia kupita maelezo, inakuwaje watu hao hao leo waandike statement kwenye Blog ya Chama ambayo wao wanaiendesha bila kumtaarifu CHRIS, bila kutaka kuhoji ni wazi kuwa ipo sauti yenye nguvu ambayo imewashinikiza wao kufanya hivyo nao wakajikuta wanatii.,ni ipi sauti hiyo???

Ikiwa hiki ni Chama cha Siasa kwanini kisifuate taratibu kama Chama kilicho na katiba na taratibu zake.,is it an enterprise kama vile baadhi ya watu (mimi nikiwemo) wanavyodai..? kuwa kuna kikundi chenye interest zake na interest hizo haziwezi kuguswa kwa namna yeyote, ni wazi kuwa LUKOSI amegusa interest of this group, ambao wako kibiashara zaidi na wala si kwa interest za Chama kama inavyojaribu kuonyeshwa bali kwa kuguswa kwa interest za kibiashara za watu hawa..!

Ni ipi nafasi ya KAMATI KUU YA CHADEMA.,ni nani hasa mwenye mamlaka ya kufukuza mwanachama ndani ya Chadema…?

Ni jambo la hatari kwa chama ambacho viongozi wake wana uwezo wa kufukuza wenzao kwa namna wanavyojisikia, wanaweza kuwa wako bar na kupata taarifa juu ya mtu Fulani asiye wa kundi lao na kupiga simu ya kumfukuza mtu huyo bila kuzingatia mchango wake, hadhi yake na muruwa wake.

CHRIS amewafanyia mengi hamkumtendea haki kwa hili, na hii inatoa picha ni kwa namna gani wakuu wa chama hiki walivyo.,wapo watu ambao wamethibitika kumiliki kadi ya Chama kingine tena iliyo hai na bado wanatetewa na kuungwa mkono ambapo kikatiba ni kuwa wanatakiwa kufukuzwa uanachama;

5.0 UANACHAMA
5.1 Sifa za kuwa MwanaChama/Wafuasi wa Chama
5.1.6 Asiwe mwanaChama wa Chama kingine cha siasa baada ya kujiunga na CHADEMA.

Kwa kipengele hiki SLAA alipaswa kufukuzwa uanachama lakini anafukuzwa LUKOSI kwa kuwepo kwa TETESI kuwa anataka kuchukua kadi ya CCM, kwa mwenye akili atosema jambo hili ni la kupuuzwa na kuachwa bila kukemewa.

ANGALIZO;

Kwa vijana ambao wanajitoa kuijenga na kuitetea CHADEMA umefika wakati sasa wa ninyi kuiona hatari hii ndani ya Chama mnachokiamini na kutafuta Chama kingine ambacho haya hayatowakuta, Chama kinachotoa fursa kwa wanachama wake kujitetea na kuthaminiwa kwa michango yao na huduma yao kwa Chama.

Napenda kuchukua fursa hii kumtaka Zitto Kabwe kuiona hatari hii lakini pia kumkaribisha CCM, ambako michango yake itathaminiwa na wala hatofukuzwa kwa THREAD kwenye JF, bali atathaminiwa na kuheshimika.

Kwa wale wafuata upepo na mashabiki wa siasa, hii ni fursa kwao kujikumbusha fasihi ya TOPAN kwenye MFALME JUHA aliposimuulia kisa cha BAKARI na WALII walipofika nchi ya kichaa ambayo mfalme wake alitoa tangazo la kila kitu ratili moja kwa pesa moja na WALII kumtaka BAKARI wahame nchi hiyo ila BAKARI alingangania kubaki na yaliyomkuta mnayajua, yanafanana na ya LUKOSI. JIANGALIENI…!

SIONI NI KWA MANTIKI IPI THREAD HII IKAWA MOVED KUJA KUUNGANISHWA NA HII YA TETESI.,HII YA TETESI NI TETESI NA HII NYINGINE NI HOJA INAYOELEZEA SCENERIO NZIMA NA MITAZAMO YA UVUNJIFU WA KATIBA NA KUKOSEKANA KWA DEMOKRASIA..,INAFAFA KATIKA LIPI..??? AU KWA KUWA KUNA JINA LUKOSI KTK ZOTE MBILI.???

Mods mnajichanganya, mmepotea nanyi mnapoteza users...!
 
quote_icon.png
By TandaleOne
Katika Tukio la hivi karibuni ambalo limewavutia wengi hasa katika forums hii ni tukio la kufukuzwa kwa mwenyekiti wa chama cha Demokrasia na maendeleo (CHADEMA) nchini uingereza.,Bwana Christopher Lukosi. Hatua hiyo ambayo imefikiwa kutokana na kuwepo kwa TETESI kuwa Lukosi anataka kukihama Chama Hicho.

Kilichonifanya kuandika haya ni namna ya Tukio lenyewe lilivyotokea na aina ya mtu ambaye tukio hilo limemtokea ambaye ni LUKOSI.
Kwa wale ambao wanamfahamu Bwana huyu na harakati zake dhidi ya CCM na mikakati yake ya kuieneza na kuiimarisha CHADEMA nchini uingereza, lazima wapigwe na butwaa baada ya tukio hili.

Kwa ufupi ni kuwa tukio lenyewe limegubikwa na sintofahamu nyingi na makosa makubwa kikatiba na hata kidemokrasia;

  • Kikatiba, ni kuwa LUKOSI alikuwa na Haki za kujitetea na kutoa ushahidi juu ya tuhuma zinazomkabili na tetesi za yeye kutaka kuhamia CCM, katika Katiba ya CHADEMA toleo la 2006 katika Ukurasa wa 10, Sura ya Tano inaeleza juu ya UANACHAMA na kutaja haki za mwanachama kama ifuatavyo;

5.2 Haki za MwanaChama
Kila mwanachama ana haki ya:-
5.2.1 Kuchagua viongozi wa Chama wa ngazi anayohusika kwa mujibu wa katiba.
5.2.2 Kuchaguliwa kuongoza na kuwakilisha Chama katika ngazi yoyote kwa kuzingatia
masharti yaliyowekwa ya sifa za uongozi.
5.2.3 Kushiriki vikao vya Chama vinavyomhusu na kutoa mawazo yake kwa uhuru kwa
kuzingatia taratibu za vikao.
5.2.4 Kujitetea, kusikilizwa na kukata rufaa anaposhitakiwa ama kuchukuliwa hatua za
kinidhamu kichama.

Kwa kuzingatia kipengele hicho cha 5.2.4 cha Katiba ya CHADEMA, Lukosi hakutendewa haki kulingana na taratibu zilizochukuliwa dhidi yake na namna ya tukio la kufukuzwa kwake lilivyotokea.

  • Lakini Kwa Chama ambacho kinajinasibisha na DEMOKRASIA ( Kwa maana kila mmoja ana haki sawa kabla ya sheria ) hatua ya kumfukuza Mwenyekiti wa Tawi ambaye ametoa mchango kwa kiasi kikubwa kwa THREAD ndani ya JF sidhani kama ni jambo linalopaswa kuungwa mkono na wala halitoi tafsir nzuri kwa wafuasi wa Chama hiko wenye ufahamu wa “sawasawa”

Nataka kumpa pole LUKOSI lakini pia nataka kumwambia kuwa hivyo ndivyo walivyo.,ulitumia nguvu zako, maarifa yako na kiasi kikubwa cha pesa yakokuhakikisha kuwa CHADEMA inaimarika na inasimama ndani ya UK.,na hiyo ndiyo fadhila yao kwako…!
hakuna ubishi wala hakuna atakayekuja hapa kupinga wala kusema kinyume na haya ninayoyasema kuwa “..KABLA YAKO WEWE HAKUKUWA NA CHADEMA UK.’”

Pamoja na yote uliyoyatenda thamani yako ni kufukuzwa ndani ya chama hicho kwa THREAD ya JF.,tena bila vikao vya maadili kukujadili, bila kuitwa kujieleza na kupewa nafasi ya kujitetea bali kwa tuhuma tu zilitosha kukufuzisha kwa kuwa “..lao limetimia..” usishangae hivyo ndivyo walivyo.,yamekukuta hayo “..Simply because you don’t belong to them.,you are not one of them..” ulikuwa haujui kuwa ni nani ananafasi katika CHADEMA, ni nani hasa mwenyewe…!

Kwa nyakati tofauti nilipata kukutana na Goodluck Mboya na Sylvester Magabe ambao ni Unit Head katika Information and Communications Unit: lakini kila mmoja alitoa sifa za ki-mungu kwa LUKOSI kana kwamba bila yeye hakuna CDM UK.,wakamtaja kwa wema na kumsifia kupita maelezo, inakuwaje watu hao hao leo waandike statement kwenye Blog ya Chama ambayo wao wanaiendesha bila kumtaarifu CHRIS, bila kutaka kuhoji ni wazi kuwa ipo sauti yenye nguvu ambayo imewashinikiza wao kufanya hivyo nao wakajikuta wanatii.,ni ipi sauti hiyo???

Ikiwa hiki ni Chama cha Siasa kwanini kisifuate taratibu kama Chama kilicho na katiba na taratibu zake.,is it an enterprise kama vile baadhi ya watu (mimi nikiwemo) wanavyodai..? kuwa kuna kikundi chenye interest zake na interest hizo haziwezi kuguswa kwa namna yeyote, ni wazi kuwa LUKOSI amegusa interest of this group, ambao wako kibiashara zaidi na wala si kwa interest za Chama kama inavyojaribu kuonyeshwa bali kwa kuguswa kwa interest za kibiashara za watu hawa..!

Ni ipi nafasi ya KAMATI KUU YA CHADEMA.,ni nani hasa mwenye mamlaka ya kufukuza mwanachama ndani ya Chadema…?

Ni jambo la hatari kwa chama ambacho viongozi wake wana uwezo wa kufukuza wenzao kwa namna wanavyojisikia, wanaweza kuwa wako bar na kupata taarifa juu ya mtu Fulani asiye wa kundi lao na kupiga simu ya kumfukuza mtu huyo bila kuzingatia mchango wake, hadhi yake na muruwa wake.

CHRIS amewafanyia mengi hamkumtendea haki kwa hili, na hii inatoa picha ni kwa namna gani wakuu wa chama hiki walivyo.,wapo watu ambao wamethibitika kumiliki kadi ya Chama kingine tena iliyo hai na bado wanatetewa na kuungwa mkono ambapo kikatiba ni kuwa wanatakiwa kufukuzwa uanachama;

5.0 UANACHAMA
5.1 Sifa za kuwa MwanaChama/Wafuasi wa Chama
5.1.6 Asiwe mwanaChama wa Chama kingine cha siasa baada ya kujiunga na CHADEMA.

Kwa kipengele hiki SLAA alipaswa kufukuzwa uanachama lakini anafukuzwa LUKOSI kwa kuwepo kwa TETESI kuwa anataka kuchukua kadi ya CCM, kwa mwenye akili atosema jambo hili ni la kupuuzwa na kuachwa bila kukemewa.

ANGALIZO;

Kwa vijana ambao wanajitoa kuijenga na kuitetea CHADEMA umefika wakati sasa wa ninyi kuiona hatari hii ndani ya Chama mnachokiamini na kutafuta Chama kingine ambacho haya hayatowakuta, Chama kinachotoa fursa kwa wanachama wake kujitetea na kuthaminiwa kwa michango yao na huduma yao kwa Chama.

Napenda kuchukua fursa hii kumtaka Zitto Kabwe kuiona hatari hii lakini pia kumkaribisha CCM, ambako michango yake itathaminiwa na wala hatofukuzwa kwa THREAD kwenye JF, bali atathaminiwa na kuheshimika.

Kwa wale wafuata upepo na mashabiki wa siasa, hii ni fursa kwao kujikumbusha fasihi ya TOPAN kwenye MFALME JUHA aliposimuulia kisa cha BAKARI na WALII walipofika nchi ya kichaa ambayo mfalme wake alitoa tangazo la kila kitu ratili moja kwa pesa moja na WALII kumtaka BAKARI wahame nchi hiyo ila BAKARI alingangania kubaki na yaliyomkuta mnayajua, yanafanana na ya LUKOSI. JIANGALIENI…!

THREAD HII IMEANDIKWA NA TANDALE ONE LAKINI IKAHAMISHWA
Maneno yaliyoandikwa ni mazito na inabidi yafanyiwe kazi kama kweli tunataka demokrasia ya kweli na huru ndani ya chadema na kwa watanzania wote
 
Huyu bwana zaidi ya kuinua mkono kwenye bar kutaka uwenyekiti, alipigiwa kura na nani ???. Kama sikosei huyu bwana hajawahi chaguliwa> aliomba kuongoza kamati ya muda. Hivyo kujaribu kudai haki ya kikatiba wakati yeye hakusimamia katiba, nadhani sio sawa!hivyo maelezo ya tandale one hayasaidii kabisa!!!
 
Nimeamini kila mtu ndani ya Chadema ananunulika, tatizo bei.

Njooni kwangu muone kama nanunulika kirahisi, wajinga wajinga na wasiojitambua ndio wanayumbishwa kizembe.
 
Sioni haya kuwa yanafanana na thread hii hata kidogo...!
Mkuu hii thread yako ni tofauti kabisa na hii ya hapa , hawa modds wote ni chadema na huwa very agreasive kama ukiandika kitu chhochote chenye kukosoa chadema, hii sio siasa na wala sio demokrasia ya kweli na huru, hazi tabia ndio zinazowakweza wengi wakiogope hiki chama
 
Kwa vijana ambao wanajitoa kuijenga na kuitetea CHADEMA umefika wakati sasa wa ninyi kuiona hatari hii ndani ya Chama mnachokiamini na kutafuta Chama kingine ambacho haya hayatowakuta, Chama kinachotoa fursa kwa wanachama wake kujitetea na kuthaminiwa kwa michango yao na huduma yao kwa Chama.

5.2 Haki za MwanaChama
Kila mwanachama ana haki ya:-
5.2.1 Kuchagua viongozi wa Chama wa ngazi anayohusika kwa mujibu wa katiba.[LUKOSI ALICHAGULIWA NA NANI??????????
5.2.2 Kuchaguliwa kuongoza na kuwakilisha Chama katika ngazi yoyote kwa kuzingatia
masharti yaliyowekwa ya sifa za uongozi.[ LUKOSI ALICHAGULIWA NA NANI???????]
5.2.3 Kushiriki vikao vya Chama vinavyomhusu na kutoa mawazo yake kwa uhuru kwa
kuzingatia taratibu za vikao.[ MBONA LICHA YA KUTOKUCHAGULIWA NA WANACHAMA ALIHUDHURIA VIKAO VINGI TUU NA MIPICHA ALIKUWA ANABANDIKA KILA KUKICHA MOJAWAPO YA LIPICHA NDO HILO ANATUMIA KUDAI 75% YA WATU ALIWAINGIZA YEYE]
5.2.4 Kujitetea, kusikilizwa na kukata rufaa anaposhitakiwa ama kuchukuliwa hatua za
kinidhamu kichama

YEYE AKITAKA AKAKATE RUFAA TANZANIA, LA AJABU YUKO BUSY KUJITETEA HUMU JF, ALAFU LAKINI SIONI SABABU YA YEYE KUKATA RUFAA KAMA ALISHAAMUA KURUDI NYUMBANI (CCM).

ANGALIZO

ILI UPATE HAKI KWA KUTUMIA KATIBA LAZIMA UWE UMEPEWA HAKI HIYO KIKATIBA, LAKINI KWA KAKA YANGU MKOSI SIONI KAMA KUNA KIPENGELE KINA MPA KINGA YOYOTE KIKATIBA.
 
FUNNY!

FARIDA PONDA aka CHRIS LUKOSI aka CHILISOSI aka Mzee wa KAZI. NAONA KAKA UNAFUNGUKA TAR-TIBU ,

ULIJUAJE KUWA HUKU KWETU (CCM) TUNAKATIWA TOKA LUMUMBA? USINIFANYE NIANZE KUAMINI HOJA YA TENDA?
NI NINI KINGINE TUNAPEWA HUKU AMBACHO HUKO ULIKOTOKA HAWANA?. ANYWA KARIBU LAKINI, SISI NDO TUU TUMEREJEA TOKA MKUTANO MKUU, NA NAONA UTAKUWA MAVUNO MAZURI. "SISI WOTE NI CCM TATIZO NI CHADEMA" HUKU HATUNA UNDUGU, TUNA UCCM KWENDA MBELE, KARIBU MH. CHRIS MKOSI FARIDA PONDA.

KABLA SIJASAHSU KAKA, KUMBE SIKU ILE NILIPOKUONA JUZI NDO ULIKUWA BUSY UNAFUNGUA ID??? TAYARI KUPAMBANA ?? I SAY KAKA FARIDA WE KIBOKO!!! NDO MAANA UMEOGOPWA HUKO CHADEMA. LETA TENDER MZEE TUPIME MAGARI TUONE CHADEMA WATAPIMIA WAPI?
 
Hapa ndio utatofautisha vijana wa CCM na Vijana Wa CHADOMO kwenye mitandao hii ya kijamii.,wao wanalolijua kubwa ni kukashifu na kukebehi na kutukana matusi makubwa makubwa wakiamini hilo ndilo wanalopaswa kulifanya kwa niaba ya maelekezo ya chama chao na wakuu wao. Si jambo geni lakini pia si jambo linalofaa kuachwa likaendelea.,wakati mods wako busy kuangalia thread ipi inagusa maslahi ya "..THE ENTERPRISES.." wakiacha vijana hawa wakitamba kwa matusi kila kukicha..,naona ni kwa kiasi gani Great Thinkers wa JF wanaweza kufikiri...!

Pumba!!
 
inteligensia ya chadema inasemenekana ilipata nakala ya barua ya lukosi aliyowaandikia ccm kuwa atakipaka matope chadema ili waiweke kwenye vyombo vya habari ionekane cdm ni wakabila,sasa hajui kuwa kaumbuka yeye ccm walimchuuza tu.
1)inasemekana anajihusisha na biashara za madawa ya kusinzisha.
2)elimu yake hailingani na muda aliokaa uk
3)ana maadui wengi watanzania waishio uk
4)ni mlevi sana na akiliwa anaanza kuonyesha pesa za mfukoni hadharani kuwa yeye ni tajiri.
5)ni mfitini na mnafiki hata kwenye vitabu vya dini havimtaki mtu kama lukosi.
Kila la kheri huko ccm uendako ccm wamekutumia kama zoleo la taka na wamekutupa.sasa jiangalie na mihadarati yako.
Chadema ina miaka zaidi ya 20 lakini lukosi umeingia kwa miezi 3 huwezi kushindana nayo.

mtaendelea kuwa kama fisi miaka nenda rudi na baada ya 2015 sijui mtakuja na sera gani mana sera za kuwapakazia watu tuhuma uwongo zitakuwa zimepitwa na wakati
 
Aisee mwaka huu tutasikia mengi!

Msafara wa mamba kenge wamo, bora CHADEMA mmegundua mapema. Wapo wengi wakutimua ndani ya CHADEMA ambao ni mamluki. CHADEMA kuweni macho zaidi safisheni chama toeni makapi yote.

Bora kuwa na watu wachache wenye moyo ndani ya uongozi wenu kuliko kuwa na makapi yatakayotia shombo juhudi zenu za kuikomboa nchi yenye maziwa na asali

mtimueni Shibuda muone moto wake, mnawashughulikia vidagaa tu ma papa mnashindwa
 
siko chadema mkuu
hata hivo shibuda yuko kiporo tu
nadhani chadema wanashughulikia mambo muhimu zaidi
Hili ni fundisho kwa vyama vyote
kutokufuga au kupokea makapi watakaoviharibu vyama vyao

mtimueni Shibuda muone moto wake, mnawashughulikia vidagaa tu ma papa mnashindwa
 
5.2.4 Kujitetea, kusikilizwa na kukata rufaa anaposhitakiwa ama kuchukuliwa hatua za
kinidhamu kichama.

Mkuu kwenye ile taarifa hata haisemi mhusika kafanya kosa gani mpaka kutimuliwa uongozi na kuachishwa uanachama.

Swali la kwanza kabisa ambalo linahitaji majibu ni kwamba amefanya kosa gani?

Baada ya kujua kosa alilolifanya, ndiyo unaweza kuhoji kama taratibu zilifuatwa wakati wanasitisha uongozi na uanachama wake.

Huwezi kuhoji kama alipewa haki ya kujitetea au kusikilizwa au kukata rufaa wakati hujui amefanya kosa gani.

Kimsingi hili suala lina-raise suala zima la status ya matawi ya vyama vya siasa nje ya nchi.

Kwa mfano, Chadema UK, linaweza kuitwa tawi la kata, wilaya, au mkoa? Status yake ni ipi hasa?
 
Kaka ponda upo ???. Nasikia mamba wanakultea fujo kaka! Kaka hiyo tenda kuna shares? Au nisubiri kwenye kikao chetu chama cha makenge(ccm)? Ulishapata ratiba? Ebu muombe mayor wetu (mshauri wetu wa chama-uk). Yeye huwa anaongea na dr jk moja kwa moja. Nina hakika jk anafurahi kupata jembe kama wewe. Karibu nyumbani kaka mkosi
 
Back
Top Bottom