Mwenyekiti wa CHADEMA - London aenguliwa wadhifa

Mwenyekiti wa CHADEMA - London aenguliwa wadhifa

....Ndo matatizo ya kuendekeza utumbo mkubwa.... wapo wengi sana wananunuliwa kwa bei za ubwabwa na kashata...na CCM walivyo majambazi huwatupa baada ya muda mfupi sana ! Subiri dogodogo mpya zinachipukia utasikia kama yule mamuya atapewa tena tiketi za kwenda na kurudi bongo na kutembelea volvo ! Soon utaona masaburi yake yananing'inia ktk boda boda..
 
KAMA kawaida yetu wabongo,naona kila mtu is just hitting around the bush,ili mradi he/she aonekane anajua what is happening-Lukosi please take us out of the misery/mongering by putting the record straight-hii itatusaidia sana kujua where we stand with CHADEMA,kama kweli ni a proper fighting force AU ni just hot air
 
Nimeamini kila mtu ndani ya Chadema ananunulika, tatizo bei.

Hayo no maoni yako, na ni maoni potofu, kwenye mabadiliko haya hutokea sana kila "aitaye bwana ni mtakatifu";hivyo hulka si chama bali ni tabia ya mtu binafsi.Inamaana ccm wote masisadi?lahasha , bali waliona dhamira ya kijilimbikizia hata kama ni matajiri hufanya hivyo .Acha propangada zisizo na mshiko kuwa mchambuzi wa mambo ya kisiasa , na hasa kujenga umma mpana ambayo ambao una ombwe la maisha bora, ombwe la uongozi, ombwe la ikikadi na ombwe la sera na sheria nzuri za kuwasaidia wananchi
 
Naomba kuchukua fursa hii kukupongeza Ndugu Chris Lukosi kwa ukimya wako mpaka dakika hii,hii inaonyesha ukomavu wako wa kisiasa na inadhihirisha wazi kuwa wewe sio mtu wa kukurupuka katika utendaji na maamuzi yako.Kiukweli kabisa kwa nafasi yako (mwenyekiti wa tawi)sikutegemea na wala sitategemea kuona wewe ukijibu hoja iliyoandikwa na m/mitandao ya kijamii kuhusu kuvuliwa kwako uanachama kwa kuwa hauwajibiki kwao, pamoja na mengi yaliyozungumzwa juu yako na kashfa mbalimbali kwa maisha yako binafsi umeweza kuwa mvumilivu,unahitaji pongezi kwa hili.Ila kama kiongozi ninategemea utatoa kauli yako ili tuweze kuelewa upande wa pili shilingi ukoje,sababu hainiingii akilini kwa wewe kupata tenda ya kufanya biashara na serikali ndio iwe sababu ya wewe kukumbwa na yote hayo.Nategemea kusoma maelezo yako hivi karibuni na hautalazimishwa na mtu yoyote mahali pa kutolea maelezo yako na bado una haki ya kukaa kimya..
 
Last edited by a moderator:
Bw. Lukosi alirudi jijini London na kuanza kuivuruga CHADEMA

Kama inawezekama tunaomba tufahamishwe jinsi alivyoanza kuivuruga Chadema. Ni muhimu kufahama njama hizo ili hata wakati ujao tuweze kuwa na rejea.
 
Jamaa wamechemsha sana
UNAFUKUZA DEREVA WAKATI GARI LIKO KWENYE MWENDO KASI MTEREMKONI?
Halafu unachekelea,... lets wait and see. Wenzenu CCM huwa wanakatiwa toka makao makuu, sijui nyie wenzangu mtajiendeshaje mpaka huko 2015??
Nasikia Lukosi kajiunga na CUF??
 
Nimekuta hizi comments kwa michuzi...

[h=4]25 Comments[/h]Close this windowJump to comment form

1 – 25 of 25
blank.gif
Anonymous said...

Chadema Chademaaa hahaaaa this is soo funny wakati mnachagua mlikua wapi??
useless kabisaa

Thu Dec 13, 01:48:00 AM 2012

blank.gif
Anonymous said...Chris naona wamekutenda wanaCHADEMA, rudi CCM maana kwa CV yako utapokelewa tu pasipo wasi achana na hao watu makini sana.
Thu Dec 13, 01:52:00 AM 2012

blank.gif
Anonymous said...Sasa huyo kenge atakuwa nani?sidhani kama hata kijiji mnafaa kuongoza ni mapema sana.Msiwe na tabia ya kiboko ni mnyama wa ajabu sana.Mtafukunzana wote hapa uk.Muda mfupi tu huu, kenge wa kwanza kafukuzwa,Je? mkipewa nchi kama mnavyoota ndoto zenu, mtafukunza kenge wangapi?
Thu Dec 13, 02:06:00 AM 2012

blank.gif
Anonymous said...kweli chadema kwishenea bongo vurugu UK vurugu ntie vipi sasa mtatuendeshea nchi kivipi, vilaza hebu mkalime kama siasa zimewashinda.
Thu Dec 13, 02:16:00 AM 2012

blank.gif
Anonymous said...Chris ni mfanyabiashara hivyo usipoteze wakati na vyama vya kimasikini njoo hapa Beds ujiunge na Tory upate kutajirika. Sasa Tory wanatafuta Blacks waliofanikiwa kibiashara ili washinde chaguzi zijazo.
Thu Dec 13, 02:46:00 AM 2012

blank.gif
Anonymous said...Safi sana...hamna kitu huyu jamaa...anafikiri m4c ni kama serengeti freight forwarders...afadhali wamemdondosha
Thu Dec 13, 04:11:00 AM 2012

blank.gif
Anonymous said...Hahaha..ni lini Mwenyekiti wa Republican-Tanzania atavuliwa madaraka..fanyeni kilichowapeleka nje achaneni na siasa. nyie mliofika nje tulitegemea ndo mngekuwa wakwanza kuelimisha watanzania kuwa uchama hauna deal, deal ni uzalendo...lakini kila mahali ccm, chadema x1000..udinix10000..fanyeni kazi kwa bidii acheni kutafuta umaarufu ambao hauna deal na mtakuja ujutia baadae..Mi MTANZANIA BWANA..SIO CHADEMA WALA CCM..TUNASUBIRIA ISSUE YA MGOMBEA BINAFSI KWA MAPENZI YA MOLA
Thu Dec 13, 05:18:00 AM 2012

blank.gif
Anonymous said...Kumbe nae mmoja wa MaKenge huyo Eeeh!Anapaswa Kuwajibishwa,safi sana Jeez hapa Washimgton DC USA.

Thu Dec 13, 05:32:00 AM 2012

blank.gif
Anonymous said...haya sasa chadema wameshaanza kujistukia mtahisi mara zitto nae katumwa ni cm,mara slaaa,mbowe sasa muda si mrefu mtaanza kutafunana wenyewe kwa wenyewe, dhambi ya ubaguzi!!!
Thu Dec 13, 07:17:00 AM 2012

blank.gif
Anonymous said...hakuna msafi asilimia 100 hapo
Thu Dec 13, 08:29:00 AM 2012

blank.gif
Mnyalu said...Ukiingia CHADEMA uwe makini kwani hiki chama watu wake ni MAKINI mno! hawana ubabaishaji kama CCM.
Thu Dec 13, 10:21:00 AM 2012

blank.gif
Anonymous said...Haiwezekani kumfukuza kama kuku mdingi namna hiyo, mtu makini najua hata kijiji chake pale rombo.Asikubali mpaka kielewee? kieleweke kweli.
Thu Dec 13, 10:23:00 AM 2012

blank.gif
Anonymous said...
Japan pia kunafuka moshi..
Watanzania wa sasa siyo kichwa cha mwendawazimu tena kama zamani
Thu Dec 13, 10:47:00 AM 2012

blank.gif
Anonymous said...Chadema msitake kujifanya mpo safi wengine!

Sasa kama suala ni M4C mngeanzia kwenye Ngazi ya Taifa badala ya kwenye Tawi tena le nje ya nchi!

Kama mngeanzia ngazi ya Taifa nadhani Slaa na Mbowe mngewanyang'anya Madarala na kuwavua uanachama ni vile wamesimama kugombea Uraisi mara kadhaa kila mmoja na wakashindwa vibaya kabisa!

Kama suala ni vigezo ni kujituma na kufikia malengo Mbowe na Slaa wangefaa kuwajibishwa badala ya Christopher Lukosi wa Tawi UK.

Au kwa vile sio Mchagga???
Thu Dec 13, 11:01:00 AM 2012

blank.gif
Anonymous said...Chadema waongo na wanafiki, toeni sababu ya ukweli hapo mmebabaisha tu, mara ooooh M4C mara. ohhhh kwenye Kenge Mamba wapo !

Ohhh,

Ohhh,
Thu Dec 13, 11:03:00 AM 2012

blank.gif
Anonymous said...Mwenye kutaka Uongozi CHADEMA,,,Movement for change kwenye ngazi ya Uongozi aelewe haya machache ya msingi:

1.Kwanza aone matatizo yanayomgusa yeye na jamii yake.

2.Ajue na kutambua fika chimbukomla matatizo haya.

3.Awe tayari kuwa kiini cha ukweli cha mabadiliko anayoyataka katika jamii.

4.Aweze kutoa ufumbuzi kwa kukemea maovu, kuelimisha na hata yeye mwenyewe kuelimika.

5.Ili afanikiwe ktk kipengele cha (4) ni shariti ajitambue kwamba yeye binafsi ni:
i-lazima awe safi na sifa za kukemea maovu,
ii-aweke maslahi ya jamii mbele na si yake binafsi,
iii-awe na sifa za uongozi zinazotakiwa, nidhamu ikiwa ni namba moja ktk orodha.
iv-awe na msimamo wa itikadi

___________________________________
HAPO KATIKA No.5 CHADEMA MMEFUNIKA VIPENGELE HIVI AMBAVYO KWENYE MAKABRASHA YA SIRI YA CHAMA CHENU VIPO:

v-ni lazima awe MCHAGGA ama anatokea KANDA UA KASKAZINI

Vi-ni lazima atetee maslahi ya Wachagga na KANDA YA KASKAZINI.

vii-ni lazima ahakikishe nchi inaangukia mikononi mwa watu wa Kanda ya Kaskazini Uchaguzi ujao 2015 bila kujali sifa za Mgombea huyo.

SASA VIPENGELE HIVYO No.5 kuanzia v,vi, na vii (ambavyo vipo kibindoni kwenye makabrasha ya siri ya CHADEMA) huyo CHRISTOPHER LUKOSI NDIVYO HAKUTIMIZA, HIVYO NDIO HOJA ZILIZOPELEKEA KUVULIWA MADARAKA PIA NA UANACHAMA, SIO OHHH NDANI YA MAAMBA KENGE WAPO ,OHHH ,OHHH, OHHH,!

NINI SASA?
Thu Dec 13, 11:18:00 AM 2012

blank.gif
Anonymous said...Asingekuwa Christopher Lukosi akawa CHRISTOPHER MUSHI ,angalau angebaki ktk chama ingawa akiwa hana hata Madaraka!
Thu Dec 13, 11:20:00 AM 2012

blank.gif
Anonymous said...Mnhhhh!

Kuelekea Uchaguzi Mkuu 2015 Chadema mmeanza kuweweseka!

Kweli Uraisi wa nchi mlioukamia mtaupata huku mkionyesha Siasa za ki-Ubaguzi, na ki-Kanda?
Thu Dec 13, 11:23:00 AM 2012

blank.gif
Anonymous said...Sishangai jamaa ana kauli chafu balaa. Ana dharau kwa kila mtanzania anayebeba box.
Thu Dec 13, 11:43:00 AM 2012

blank.gif
Anonymous said...Huyu jamaa ni sifuri (zeroooo asilimia mia moja);
Nilisikitika na kulia kwa uchungu niliposikia ni mwenyekiti wa Chadema UK;Chadema mlikosa watu kabisa??Mbona watu wa maana wanaofaa kuongoza ni wengi tu UK?Mkachukua hiki kiazi!,ni kilaza na hajui kabisa kuongea (interact) na watu.Hongereni kwa kuvua gwanda la kikenge Lukosi.PEOPLES POWERS.
Thu Dec 13, 12:24:00 PM 2012

blank.gif
Anonymous said...CHRIS LUKOSI HUYU NI MUHEHE,MTOTO WA MZEE LUKOSI ALIYEKUWA OFISA WA CUSTOMS MWANZA?NA NDIYE WA SERENGETI FREIGHT FORWADERS?
Thu Dec 13, 01:23:00 PM 2012

blank.gif
Anonymous said...Jamaa shushushu, kazidiwa speed na wenzie wamemwingiza bafuni. Kaachwa mdomo wazi maana kwa akili yake ndogo (na arrogance) alifikiri ni mjanja sana. Huwezi kuwafanya wenzio wooote wajinga - wamekustukia, unaanza ooooh chris ana hela, ooooh, kafanikiwa kibiashara. Hapa suala ni hivi: LUKOSI NI SHUSHUSHU, AMEJAA HASIRA, KARAHA, USEMAJI HOVYO, AKILI NDOGO.
Anaweza kufanikiwa kwenye kupeleka containers dar, lakini sio suala la kutumikia watu.
Thu Dec 13, 01:29:00 PM 2012

blank.gif
Anonymous said...Kwa Itikadi ya Chadema ya Mapanga mkononi?

Ni bahati nzuri sana ya kuwa Tanzania na UK ni nchi ambazo kuna Rule of LAW na Social Justice!

Isingekuwa hivyo, yule Kada wa Chadema aliyempigia Saluti Raisi JK kwenye ufunguzi wa Hospitali juzi kule Sinza Dar, na huyu Christopher Lukosi wa kwenye Tawi Uingereza wangekuwa ,KWA MAKOSA WALIYO YAFANYA (Sinza-Kumpigia Saluti Raisi wa CCM, na UK-Kwa sababu wanazojua Chdm juu ya Christopher Lukosi),,,TUNGEKUTA, KAMA SI KIUNGO NYETI, MASIKIO YAO YAMEKATWA KAWOSHI KWA MAPANGA!
Thu Dec 13, 03:09:00 PM 2012

blank.gif
Anonymous said...chadumaaa eti ndio wapewe nchi ha haaa, bora shetani anayekujua kuliko malaika asiekujua!! Nzala tupu hao chadumaa
Thu Dec 13, 04:04:00 PM 2012

blank.gif
Anonymous said...Chris endelea na kazi ya kusafirisha vitu vikakuze uchumi TZ. Hiyo kazi ya heshima kuliko kuwa kiongozi wa vyama vya kisiasa. Hongera kwa kupata uhuru wa maisha yako. Waachie wanaoweza biashara ya kudanganya wananchi (CCM na CHADEMA wote sawa tu!)
Thu Dec 13, 04:24:00 PM 2012
 
chadema naipendea hapaa kwanii haifagilii mafisadiii si kamaaa nduguuu zanguuu chichimuu naonaa dalili zakufaaa kwa chichimuuu labdaaa kama inachagliw na mafisadiii ila kama ni cc wana kijj bac ccm kwishineiiiii
 
Katika Tukio la hivi karibuni ambalo limewavutia wengi hasa katika forums hii ni tukio la kufukuzwa kwa mwenyekiti wa chama cha Demokrasia na maendeleo (CHADEMA) nchini uingereza.,Bwana Christopher Lukosi. Hatua hiyo ambayo imefikiwa kutokana na kuwepo kwa TETESI kuwa Lukosi anataka kukihama Chama Hicho.

Kilichonifanya kuandika haya ni namna ya Tukio lenyewe lilivyotokea na aina ya mtu ambaye tukio hilo limemtokea ambaye ni LUKOSI.
Kwa wale ambao wanamfahamu Bwana huyu na harakati zake dhidi ya CCM na mikakati yake ya kuieneza na kuiimarisha CHADEMA nchini uingereza, lazima wapigwe na butwaa baada ya tukio hili.

Kwa ufupi ni kuwa tukio lenyewe limegubikwa na sintofahamu nyingi na makosa makubwa kikatiba na hata kidemokrasia;

  • Kikatiba, ni kuwa LUKOSI alikuwa na Haki za kujitetea na kutoa ushahidi juu ya tuhuma zinazomkabili na tetesi za yeye kutaka kuhamia CCM, katika Katiba ya CHADEMA toleo la 2006 katika Ukurasa wa 10, Sura ya Tano inaeleza juu ya UANACHAMA na kutaja haki za mwanachama kama ifuatavyo;
5.2 Haki za MwanaChama
Kila mwanachama ana haki ya:-
5.2.1 Kuchagua viongozi wa Chama wa ngazi anayohusika kwa mujibu wa katiba.
5.2.2 Kuchaguliwa kuongoza na kuwakilisha Chama katika ngazi yoyote kwa kuzingatia
masharti yaliyowekwa ya sifa za uongozi.
5.2.3 Kushiriki vikao vya Chama vinavyomhusu na kutoa mawazo yake kwa uhuru kwa
kuzingatia taratibu za vikao.
5.2.4 Kujitetea, kusikilizwa na kukata rufaa anaposhitakiwa ama kuchukuliwa hatua za
kinidhamu kichama.

Kwa kuzingatia kipengele hicho cha 5.2.4 cha Katiba ya CHADEMA, Lukosi hakutendewa haki kulingana na taratibu zilizochukuliwa dhidi yake na namna ya tukio la kufukuzwa kwake lilivyotokea.

  • Lakini Kwa Chama ambacho kinajinasibisha na DEMOKRASIA ( Kwa maana kila mmoja ana haki sawa kabla ya sheria ) hatua ya kumfukuza Mwenyekiti wa Tawi ambaye ametoa mchango kwa kiasi kikubwa kwa THREAD ndani ya JF sidhani kama ni jambo linalopaswa kuungwa mkono na wala halitoi tafsir nzuri kwa wafuasi wa Chama hiko wenye ufahamu wa “sawasawa”

Nataka kumpa pole LUKOSI lakini pia nataka kumwambia kuwa hivyo ndivyo walivyo.,ulitumia nguvu zako, maarifa yako na kiasi kikubwa cha pesa yako kuhakikisha kuwa CHADEMA inaimarika na inasimama ndani ya UK.,na hiyo ndiyo fadhila yao kwako…!
hakuna ubishi wala hakuna atakayekuja hapa kupinga wala kusema kinyume na haya ninayoyasema kuwa “..KABLA YAKO WEWE HAKUKUWA NA CHADEMA UK.’”

Pamoja na yote uliyoyatenda thamani yako ni kufukuzwa ndani ya chama hicho kwa THREAD ya JF.,tena bila vikao vya maadili kukujadili, bila kuitwa kujieleza na kupewa nafasi ya kujitetea bali kwa tuhuma tu zilitosha kukufuzisha kwa kuwa “..lao limetimia..” usishangae hivyo ndivyo walivyo.,yamekukuta hayo “..Simply because you don’t belong to them.,you are not one of them..” ulikuwa haujui kuwa ni nani ananafasi katika CHADEMA, ni nani hasa mwenyewe…!

Kwa nyakati tofauti nilipata kukutana na Goodluck Mboya na Sylvester Magabe ambao ni Unit Head katika Information and Communications Unit: lakini kila mmoja alitoa sifa za ki-mungu kwa LUKOSI kana kwamba bila yeye hakuna CDM UK.,wakamtaja kwa wema na kumsifia kupita maelezo, inakuwaje watu hao hao leo waandike statement kwenye Blog ya Chama ambayo wao wanaiendesha bila kumtaarifu CHRIS, bila kutaka kuhoji ni wazi kuwa ipo sauti yenye nguvu ambayo imewashinikiza wao kufanya hivyo nao wakajikuta wanatii.,ni ipi sauti hiyo???

Ikiwa hiki ni Chama cha Siasa kwanini kisifuate taratibu kama Chama kilicho na katiba na taratibu zake.,is it an enterprise kama vile baadhi ya watu (mimi nikiwemo) wanavyodai..? kuwa kuna kikundi chenye interest zake na interest hizo haziwezi kuguswa kwa namna yeyote, ni wazi kuwa LUKOSI amegusa interest of this group, ambao wako kibiashara zaidi na wala si kwa interest za Chama kama inavyojaribu kuonyeshwa bali kwa kuguswa kwa interest za kibiashara za watu hawa..!

Ni ipi nafasi ya KAMATI KUU YA CHADEMA.,ni nani hasa mwenye mamlaka ya kufukuza mwanachama ndani ya Chadema…?

Ni jambo la hatari kwa chama ambacho viongozi wake wana uwezo wa kufukuza wenzao kwa namna wanavyojisikia, wanaweza kuwa wako bar na kupata taarifa juu ya mtu Fulani asiye wa kundi lao na kupiga simu ya kumfukuza mtu huyo bila kuzingatia mchango wake, hadhi yake na muruwa wake.

CHRIS amewafanyia mengi hamkumtendea haki kwa hili, na hii inatoa picha ni kwa namna gani wakuu wa chama hiki walivyo.,wapo watu ambao wamethibitika kumiliki kadi ya Chama kingine tena iliyo hai na bado wanatetewa na kuungwa mkono ambapo kikatiba ni kuwa wanatakiwa kufukuzwa uanachama;

5.0 UANACHAMA
5.1 Sifa za kuwa MwanaChama/Wafuasi wa Chama
5.1.6 Asiwe mwanaChama wa Chama kingine cha siasa baada ya kujiunga na CHADEMA.

Kwa kipengele hiki SLAA alipaswa kufukuzwa uanachama lakini anafukuzwa LUKOSI kwa kuwepo kwa TETESI kuwa anataka kuchukua kadi ya CCM, kwa mwenye akili atosema jambo hili ni la kupuuzwa na kuachwa bila kukemewa.

ANGALIZO;

Kwa vijana ambao wanajitoa kuijenga na kuitetea CHADEMA umefika wakati sasa wa ninyi kuiona hatari hii ndani ya Chama mnachokiamini na kutafuta Chama kingine ambacho haya hayatowakuta, Chama kinachotoa fursa kwa wanachama wake kujitetea na kuthaminiwa kwa michango yao na huduma yao kwa Chama.

Napenda kuchukua fursa hii kumtaka Zitto Kabwe kuiona hatari hii lakini pia kumkaribisha CCM, ambako michango yake itathaminiwa na wala hatofukuzwa kwa THREAD kwenye JF, bali atathaminiwa na kuheshimika.

Kwa wale wafuata upepo na mashabiki wa siasa, hii ni fursa kwao kujikumbusha fasihi ya TOPAN kwenye MFALME JUHA aliposimuulia kisa cha BAKARI na WALII walipofika nchi ya kichaa ambayo mfalme wake alitoa tangazo la kila kitu ratili moja kwa pesa moja na WALII kumtaka BAKARI wahame nchi hiyo ila BAKARI alingangania kubaki na yaliyomkuta mnayajua, yanafanana na ya LUKOSI. JIANGALIENI…!
 
Unatokwa na mapovu yote ya nini? hapa ueleweki unalalamika au unatoa taarifa amabazo tunazifahamu? jifunze kwanza katiba yenu ya CCM ndio urukie mambo ya Chadema, kwanza hayakuhusu.
 
Hakika chadema inakwenda kusambaratika tuko hapa cha ajabu sasa hivi humu wanamkejeli mtu ambaye jana alikua shujaa na kutwa akina lema walikua wakimsifu kama kamanda na shujaa wa chama ,huwezi ukategemea kuwa Rais wa nchi kama hufuati kanuni hata za chama chako ,mtoa mada umechambua vizuri sana tena kwa kuonesha kanuni na katiba ya chadema ,wapambe wa chadema wanapuuza haya lakini wakati unakuja ambapo watajutia haya ya kufukuza watu hovyo
 
Tutapata mengi tu... Mpaka kufikia uchaguzi mkuu mwaka 2015. Heri mimi nisie na Chama cha siasa
 
Kwa kipengele hiki SLAA alipaswa kufukuzwa uanachama lakini anafukuzwa LUKOSI kwa kuwepo kwa TETESI kuwa anataka kuchukua kadi ya CCM, kwa mwenye akili atosema jambo hili ni la kupuuzwa na kuachwa bila kukemewa.

Kelele zooote kumbe ni hili tu ndio ulitaka kusema
 
Hamkisidii chama chenu hii tabia ya kufukuza watu hovyo bila utaratibu mtaijutia inmaana mnavunja utaratibu wa chadema na msiguswe kisa eti mnakublika subirini ,puuzeni kila mwanachama anaye wakimbia mtayaona matokeo yake
 
Utafukuzwa hata wewe,ukija halafu usifuate taratibu za chama,CCM wana democrasia ya kweli ndiyo maana hawawezi(HAWAWEZI)kuwafukuza mafisadi,sawa endeleeni hivyo hivyo,sisi tunataka chama chenye maamuzi magumu(CHADEMA).
 
Hakika chadema inakwenda kusambaratika tuko hapa cha ajabu sasa hivi humu wanamkejeli mtu ambaye jana alikua shujaa na kutwa akina lema walikua wakimsifu kama kamanda na shujaa wa chama ,huwezi ukategemea kuwa Rais wa nchi kama hufuati kanuni hata za chama chako ,mtoa mada umechambua vizuri sana tena kwa kuonesha kanuni na katiba ya chadema ,wapambe wa chadema wanapuuza haya lakini wakati unakuja ambapo watajutia haya ya kufukuza watu hovyo

mmeamua kuchafua hewa! "Magamba"
 
Kwa kipengele hiki SLAA alipaswa kufukuzwa uanachama lakini anafukuzwa LUKOSI kwa kuwepo kwa TETESI kuwa anataka kuchukua kadi ya CCM, kwa mwenye akili atosema jambo hili ni la kupuuzwa na kuachwa bila kukemewa.

Sasa ndugu mwenezi mbona unazunguka mbaaaaaaali kumbe ulitaka kwenda mtaa wa pili tu hapo.
Tunajua sasahivi huko ccm hakuna hoja wala sera yoyote yenye mlengo wa kuinufaisha nchi, kwahiyo mmeamua kulilia kadi ya Dr. Slaa as if akiwarudishia tu siku hiyo hiyo ahadi zenu zote zaidi ya sabini mlizoahidi katika uchaguzi mkuu wa 2010 zitatekelezeka papo hapo.

Kama ungekuwa unashaurika ningekushauri utafute hoja ya kuandika ama kuzungumza kwakuwa kujadili kadi ya Dr. Slaa ni uwendawazimu. Kwakuwa hushauriki basi ninakuacha vivyo hivyo na vijihoja vyako vya kuokoteza.
 
Back
Top Bottom