Jamaa alijitolea sana kuitangaza Chadema Uingereza lakini leo kaambulia matusi.
Kwa hiyo kama kaitangaza alafu anaihujumu afumbiwe macho?
Mkuu ebu tufahamishe kaihujumu vipi Chadema.
kumbe upo tayari?? aiseeeMods,
Unganisha huu uzi na ule wa mwanzo.
kama ana kosa lazima awajibishwe
kachafuliwa wapi arifu???? kwani lema hawezi fanya hivyo???Hamna kazi nyingine za kufanya au hii ndio kazi mlizoajiriwa nazo kuchafua wengine. Hivi mkishawachafua mnapataga faida gani. Tafuteni kazi halali za kufanya sio hizi. Acheni uvivu.
kama ana kosa lazima awajibishwe
hata wewe si ulinunuliwa na ndio maana mshahara ukichelewa huonekani hapa jf,na kazi yako kubwa hapa ni kuishambulia cdm tu huna hata uzi mmoja wa kujenga nchi hii umewahi kuanzisha yaani toka niijue ID yako sijawahi kuelemika na mchango wako wowote ule,hujielewi kuwa huna manufaa hapa?Nimeamini kila mtu ndani ya Chadema ananunulika, tatizo bei.
Jibidishe kusoma huu uzi kwa undani ili ujijibu swali lako mwenyewe.
- Hopeless kabisa, let me understand this CCM ili kutawala Tanzania inahitaji kuwa na pandikizi kwenye tawi la Chadema London? So Slaa mwenye kadi ya CCM na anailipia kila mwezi sio tatizo ila MWenyekiti wa Tawi la wanachama watano UK?
I mean labda I am missing something here!!
es!
jamani mashabiki wa CCM tujipange kiinusuru CDM na kifo, bila CDM JF will never be interesting
hata wewe si ulinunuliwa na ndio maana mshahara ukichelewa huonekani hapa jf,na kazi yako kubwa hapa ni kuishambulia cdm tu huna hata uzi mmoja wa kujenga nchi hii umewahi kuanzisha yaani toka niijue ID yako sijawahi kuelemika na mchango wako wowote ule,hujielewi kuwa huna manufaa hapa?