17 October 2020
Halima Mdee : Wanawake ni Jeshi Kubwa, Wanaweza
Mwenyekiti wa Baraza la Wanawake wa CHADEMA (BAWACHA) Bi. Halima James Mdee azungumzia umuhimu wa wanawake ktk Taifa kushirikishwa katika maamuzi ngazi zote ili kuwa na Taifa bora kijamii , kisiasa na kiuchumi
Hapa Tanzania mwenyekiti wa BAWACHA amesema nchi inajitahidi kuwashirikisha wanawake mfano ktk siasa CCM imesimamisha wanawake takribani kinamama 20 kugombea ubunge wakati CHADEMA imesimamisha zaidi ya 60.
Upande wa kijamii kinamama ndiyo waangalizi wa taifa kuanzia ngazi ya familia, ndiyo wanahakikisha afya ya mtoto , kupeleka familia hospitali , kupigia kelele huduma za maji safi na salama ziwe karibu na makazi ya familia zao n.k
Mwenyekiti wa BAWACHA vilevile amesema kina mama hupenda mazingira ya uhuru , haki na Maendeleo ya famiia na hayo huja kama nchi ikizingatia masuala hayo matatu muhimu mtambuka ambayo huleta Amani na utulivu
Chanzo: Swahili Villa