Mwenyekiti wa BAWACHA Rorya ahukumiwa kifungo cha mwaka mmoja jela

Mwenyekiti wa Bawacha Rorya ambaye jana alihudhuria kongamano la Chadema leo amehukumiwa kwenda jela mwaka mmoja.

Mwenyekiti wa Chadema mh Mbowe yuko ziarani mkoani Mara.

Taarifa rasmi itawajia punde.

Kazi Iendelee!
Kwani hakuna faini?? Mbona story haiko kamili?
 
Angefungwa zaidi ya mwaka mmoja huyo kamanda uchwara. Aisee bado nipo.
Lakini amelipa faini ya laki mbili Mr. Magonjwa. Ila nakushauri jaribu kidoooogo kuchuja mada za kuchangia. Sometimes itakuja kukusaidia hata uzeeni kama sio wajukuu zako. (Maombolezo 5:7)
 
Kuhukumiwa kufungwa mwaka mmoja na kuhukumiwa kifo ipi ni hukumu mbaya zaidi?Huyo mwenyekiti wa BAWACHA amehukumiwa kifungo cha mwaka mmoja jela kutokana na uonevu wa Kayafa lakini Kayafa yeye alihukumiwa adhabu ya kifo na Mungu.Nilitoa sadaka ya kuteketeza kwa huyu Mungu kama shukrani ya kuniondolea Kayafa katika Taifa langu.
 
Back
Top Bottom