Mromboo
JF-Expert Member
- Jan 25, 2012
- 2,928
- 6,467
Naona umefunga ndoa na huu uzi.Mbona unaweweseka?
Naona umefunga ndoa na huu uzi.Mbona unaweweseka?
Unazidi tu kuweweseka, vipi?Naona umefunga ndoa na huu uzi.
Unatapa tapa sana, lakini ndo kawaida ya vifo vinavyo tokana na dhuluma na unyanyasaji!Hakuna cha wafiwa wala sijui sukumagang sijui nini kamanda. Utakufa tu.
Hamna cha vifo wala nini huyo jamaa bahati yake ameonewa huruma na mahakama.Unatapa tapa sana, lakini ndo kawaida ya vifo vinavyo tokana na dhuluma na unyanyasaji!
Amehurumiwa tena, au hakimu ametoa hukumu kwa mujibu wa sheria?! Zama za kutegemea Huruma za watu kwenye mambo ya kisheria zilizikwa mwezi March 2021!Hamna cha vifo wala nini huyo jamaa bahati yake ameonewa huruma na mahakama.
Hamna cha zama wala nini, bahati yake amehurumiwa sana.Amehurumiwa tena, au hakimu ametoa hukumu kwa mujibu wa sheria?! Zama za kutegemea Huruma za watu kwenye mambo ya kisheria zilizikwa mwezi March 2021!
Kwa nini taarifa rasmi ifuate baadaye? Unatuarifu Mwenyekiti wa BAWACHA amehukumiwa kwenda jela, na jana tu alihudhuria kongamano la CHADEMA; Mbowe, Mwenyekiti wa CHADEMA, akiwepo hapo mkoani. Msomaji anapata hisia kwamba jela imemsibu kutokana na kuhudhuria huko kwa kongamano alilohudhuria Mbowe. Kauli yako inaleta sintofahamu isiyokuwa ya lazima kwa kutokuwa kamilifu. Kama bado hujapata habari zilizo timilifu, bora kuvuta subira mpaka hapo utakapopata habari kamili.Mwenyekiti wa Bawacha Rorya ambaye jana alihudhuria kongamano la CHADEMA leo amehukumiwa kwenda jela mwaka mmoja.
Mwenyekiti wa CHADEMA mh Mbowe yuko ziarani mkoani Mara.
Taarifa rasmi itawajia punde.
Kazi Iendelee!