PostGE2025 Mwenyekiti msaatafu wa CHADEMA, Freeman Mbowe Yuko wapi?

PostGE2025 Mwenyekiti msaatafu wa CHADEMA, Freeman Mbowe Yuko wapi?

Conversations and stories after Tanzania's 2025 General Elections
Mathayo 13:30

Viacheni vyote vikue hata wakati wa mavuno; na wakati wa mavuno nitawaambia wavunao, Yakusanyeni kwanza magugu, myafunge matita matita mkayachome; bali ngano ikusanyeni ghalani mwangu.

Let both grow together until the harvest: and in the time of harvest I will say to the reapers, Gather ye together first the tares, and bind them in bundles to burn them: but gather the wheat into my barn.

Huyo alikuwa ni kirusi, Lissu kaja kutuonyesha namna ya upinzani wa ukweli ulivyo.
 
Wastaafu waachwe wapumzike. Angalia mstaafu ndani ya Ccm anavyowachanganya wananchi !!. Nani anapenda kuendelea kuchanganyikiwa ?!

Acheni Gen Z wafanye mambo yao ki wao.
Fikiria jinsi mzee kama Butiku anavyoshindwa kutumia taasisi ya Mwl Nyerere !. Mbowe apumzike.
 
Nadhani Kuna tofauti ya kustaafu nakususa!
Mbowe ni kama amesusa
 
Bado mnamuota Mbowe, si mlisema amechoka apumzike?
 
Alichofanya Mbowe ni kupumzika siasa, huenda kwa muda tu au kustaafu.

Nadhani alichofanya ni sawa, kule Msoga tunalaani anavyoingilia siasa wakati ameshastaafu, tumwache FAM atulie zake huko.

Alishaharibu pakubwa baada ya kukubali kukaa meza moja na watesi.
 
Similar Discussions

Back
Top Bottom