kumbe unaongeaga na mizimu yenye akili nyingi na sasa niko nazo huku
ukiendelea kuongea nawe nitakutambikia huku wakusahau kabisa hapa
wewe endelea
ulichokishobokea kutext nini wakati ushaingizwa :tonguez::tonguez:
acha kunitafuta pls sipendi nakuona sana hapa waji:A S-frusty:
naomba unisamehe kwa yote yaliyotokea jana
niko na stress best niombee kwa Mungu niweze kuvuka hapa nilipo
pls niombee msamaha kwa daddy watu8 anisamehe kwani niko so confused
Kama haya maneno ulikua nayo , ikawaje ukae nayo hadi muda huu?
Gauge ya mafuta ioneshapo taa nyekundu , fuel huongezwa!
Haisubiriwi gari izimike!
Nway nilishaanza chachizo kumuunga mkono Sungura 1980 about apology with mediation between you & your Dady , ghafla ukantia ndimu !
Hebu tupe muda elders tuone tunadadavuaje!
Elder Mamndenyi!
Uncle Kaizer
Shem Mentor
KOKUTONA
Arushaone
Myakubanga
kiwatengu
Ruttashobolwa
Mwanyasi
mwekundu
KakaKiiza
Babu Dc
Bishanga
Hebu kujeni hapa muone hii maneno, na kisha muache busara zenu .
Hebu ni brief shemeji, what is not going on here?

Mie nikutafute wewe MAITI sijui MAREHEMU unipe faida ipi ?
Mwezi mchanga wee!
Unatafuta pa kusaidiwa jeneza au ?
Huyo uliyejipachika eti Babaako kakukana hadharani saa 6 mchana kweupe tena Kariakoo, ktkt ya soko dogo na kubwa!
Huendi kujibu kule Babaako halisi nani , unavizia kunyatanyata huku vichochoroni. Hebu pelekwa hospitali kwanza, fuse zikitengemaa utatosha kurejea hapa .
Uso umekushukaje!
Taazira on you absolutely !
Tepweete !
Na wewe ndo chanzo cha marehemu kujiua
Kama haya maneno ulikua nayo , ikawaje ukae nayo hadi muda huu?
Gauge ya mafuta ioneshapo taa nyekundu , fuel huongezwa!
Haisubiriwi gari izimike!
Nway nilishaanza chachizo kumuunga mkono Sungura 1980 about apology with mediation between you & your Dady , ghafla ukantia ndimu !
Hebu tupe muda elders tuone tunadadavuaje!
Elder Mamndenyi!
Uncle Kaizer
Shem Mentor
KOKUTONA
Arushaone
Myakubanga
kiwatengu
Ruttashobolwa
Mwanyasi
mwekundu
KakaKiiza
Babu Dc
Bishanga
Hebu kujeni hapa muone hii maneno, na kisha muache busara zenu .
Bingooo!!!jamani bestito mm siko hivyo siwezi mwonea wivu mwenzangu kwani nilivyoachwa na M mbona ana wengine tena ni marafiki zangu wa karibu sana mbona sijawakasirikia nawapenda ile mbaya, na kwasasa nina CHUNGU KIPYA nitakileta jamvini hivi karibu wenyewe mtakiona mtajua kuwa nimechagua kifaa cha nguvu subiri muda kidogo kitaingia kitu kipyaaaaaaaaa
Bingooo!!!
Popote ulipo Nicas Mtei njoo ujionee na udadavue mwenyewe. Hiyo "M" imesimama kwa jina gani. Mentor na Mtambuzi hawatoki kwenye hili sakata!!!!
Shem Judgement... umeniita??! Niko msibani ujue...
Shemeji hapa it's lon story , but inshort jana ladyfurahia alitingisha jukwaa!
Alilitingishaje?
Hilo sasa ndiyo nataka aliseme/akuambie ye mwenyewe ndiyo itapelekea kiawali tujue kama analifahamu vizuri kosa lake .
ladyfurahia hebu mwambie KOKUTONA ulichokifanya!
Bingooo!!!
Popote ulipo Nicas Mtei njoo ujionee na udadavue mwenyewe. Hiyo "M" imesimama kwa jina gani. Mentor na Mtambuzi hawatoki kwenye hili sakata!!!!