ladyfurahia
JF-Expert Member
- May 10, 2011
- 14,758
- 9,592
- Thread starter
- #81
sina matatizo yoyote bestito laiti ungejua kuwa ninawapenda wanaume si mchezo best
ingia kwenye anga zangu ndo utaona
ingia kwenye anga zangu ndo utaona
Ingawa ni Chitchat,nashawishika kuamini kuwa una matatizo ya kisaikolojia dhidi ya wanaume {una hasira nao pasipo sababu}
ladyfurahia.