Ebu fafanua vizuri chanzo ni nini, na ushahidi kuwa hao uliowataja ndio wametenda kosa ulete hapa!Mwenyekiti CHADEMA Mkoa wa Arusha na Mgombea udiwani kata ya kikatiti Mhe.Elisa Mungure amevamiwa na kushambuliwa na greenguard walioambatana na @tanpol
, Mhe. Mungure amejeruhiwa vibaya kwa mapanga na amekimbizwa hosipitali.
Heri Wapagani kuliko wenye dini!!Kiki tu hizo, ila tatizo zimebuma
Hii inamuhusu mbowe na genge lake.CCM ni chama kinachoongozwa na watu wenye kiu ya damu za watu hasa mwenyekiti wao
Nadhani hawa watu tunatakiwa kuwawahi kabla hawajatumaliza watz wote.CCM ni chama kinachoongozwa na watu wenye kiu ya damu za watu hasa mwenyekiti wao
Tufikirie Mara 2 hawa viongozi wa diniHeri waliochagua kuwa Wapagani au wanaoabudu ngombe/sanamu kuliko sisi tunaojidai kujmua Mungu ila ni waovu kuliko hata Ibilisi!
Wanaogiza/wanaobariki mambo haya siku za Ibada utaona wako siti za mbele eti wakimuomba Mungu!!