Mwenyekiti CHADEMA Mkoa wa Arusha na Mgombea udiwani kata ya kikatiti Elisa Mungure ashambuliwa kwa mapanga akimbizwa hospitali

Nyendo

JF-Expert Member
Jun 4, 2017
1,188
4,100
Mwenyekiti CHADEMA Mkoa wa Arusha na Mgombea udiwani kata ya kikatiti Mhe.Elisa Mungure amevamiwa na kushambuliwa na greenguard walioambatana na @tanpol
, Mhe. Mungure amejeruhiwa vibaya kwa mapanga na amekimbizwa hosipitali.

IMG_20201028_175453_613.jpg
IMG_20201028_175503_212.jpg
 
Mwenyekiti CHADEMA Mkoa wa Arusha na Mgombea udiwani kata ya kikatiti Mhe.Elisa Mungure amevamiwa na kushambuliwa na greenguard walioambatana na @tanpol
, Mhe. Mungure amejeruhiwa vibaya kwa mapanga na amekimbizwa hosipitali.
Ebu fafanua vizuri chanzo ni nini, na ushahidi kuwa hao uliowataja ndio wametenda kosa ulete hapa!
 
Yani mtatengeneza drama mpaka mlewe faru John. Tulieni dawa iingie vizuri. Mungu mbariki John Pombe Magufuli. Mungu ibariki Tanzania. Mungu ibariki CCM.
 
Hi ni mbaya sana. Ccm wanajitoa ufahamu wakati jumuiya za kimataifa zilshasema kutakuwa na consequences uchaguzi ukiharibiwa.
 
Ccm mbinu zenu za kutaka kubaki madarakani kwa nguvu ndo zinatufikisha hapa huyo Mungu mnaemuomba ni yupi huyo?
 
Heri waliochagua kuwa Wapagani au wanaoabudu ngombe/sanamu kuliko sisi tunaojidai kujmua Mungu ila ni waovu kuliko hata Ibilisi!

Wanaogiza/wanaobariki mambo haya siku za Ibada utaona wako siti za mbele eti wakimuomba Mungu!!
Tufikirie Mara 2 hawa viongozi wa dini
 
Back
Top Bottom