safuher
JF-Expert Member
- Feb 11, 2019
- 11,164
- 15,840
Kiongozi ni mtu ambaye unatakiwa umheshimu Japokuwa hiyo haifanyi kiongozi naye asiheshimu wengine.Mimi naona waziri yupo sahihi kwasababu huyo mzee ameanza kuweka title ya mzee wake ili asikilizwe, badala ya kuweka taarifa zinazoonesha anastahili hiyo ardhi.
kwanini aanze mimi ni mtoto wa muasisi wa Tanu?....Waziri ameogopa kuonekana anapendelea watu ambao ni waasisi wa nchi.
Waziri yupo sahihi japo kuna sehemu amekosea anaelekezwa anakuwa kama hataki kusikiliza hiyo inatokana na jamaa kuwa kama amemdharau
Jamaa alitakiwa kuwa mpole na asigie kabisa neno baba yake alikuwa muasisi sijui nini.
Muasisi keshakufa usiishi kwa tittle ya baba ako