Mwenye window 10 alieko Arusha tafadhali

Mwenye window 10 alieko Arusha tafadhali

karanga mbichi

JF-Expert Member
Joined
Aug 8, 2014
Posts
269
Reaction score
223
Wakuu,

Kwa yoyote mwenye window 10 alieko Arusha(preview) tafadhali anisaidie kuipata.Anaweza kunitext kwenye no hizo pia inapatikana whatsapp. Anitext tu kunijulisha naweza kumuona wapi na kuipata hiyo window OS
 
Sisi hatujahamia hata window 8 bado tuko window 7.
 
Wakuu,

Kwa yoyote mwenye window 10 alieko Arusha(preview) tafadhali anisaidie kuipata.Anaweza kunitext kwenye no 0787803577 pia inapatikana whatsapp. Anitext tu kunijulisha naweza kumuona wapi na kuipata hiyo window OS

Ingia web ya Microsoft iPo free kabisa una click na kudownload ..

Angalizo ; file zima ni gb 3 na....
 
Bado hawajarelease iliopo n preview for developers so Ni ya kuwasaidia app pruducer kucreate apps za windows. 10 pia after installation. Huwez kurud window 8 au 7 labda ufomart pc yako
 
Hata ukipewa preview haitasaidia maana ina expire, inahitaji kufanyiwa update mara kwa mara, inabidi ujifunze ku update mwenyewe.

Windows 10 inatoka mwezi wa saba tarehe 29. Ni vyema ukasubiria.

Kama una genuine windows 7 au 8 utaweza ku update buree.
 
Latest build ya windows 10 yenye project Spartan ni noma , sijawahi ona window iliyo faster na reliable Kama hii , security ya Hali ya juu na interface ya ukweli . Nime update Kama siku tano zilizopita na mpaka sasa naona kuna big difference na hii iliyokuwepo zamani
 
Wakuu,

Kwa yoyote mwenye window 10 alieko Arusha(preview) tafadhali anisaidie kuipata.Anaweza kunitext kwenye no 0787803577 pia inapatikana whatsapp. Anitext tu kunijulisha naweza kumuona wapi na kuipata hiyo window OS


Hiyo preview ya 64bit ninayo kama unataka tuwasiliane ymollel@gmail.com. Nitakupa bure, uje na empty dvd. Ingawa ningekushauri usubiri itoke full version.
b82cca8765ef1041037916572eb3fe6d.jpg
 
I am still using Windows 8... as of now, laptop ipo operation kwa angalau 16 hours kila siku! Hakuna shughuli yangu hata moja ambayo si tu kwamba nimeshindwa kuifanya bali hakuna yoyote ambayo imekuwa delayed kwavile tu natumia Windows 8... Sina haraka, wakati utafika tu ambapo nitapata alert ya ku-update to Windows 10 kama nahitaji!!

Haidhuru, Kipya Kinyemi hata kama kidonda!!
 
Back
Top Bottom