FARU JEURI
JF-Expert Member
- Sep 4, 2015
- 377
- 299
One man down @kwa Perry voice!
Hauna e mail ina maanisha nini??Awawezi tuma kwa email wakati wengine hatuna email
ndio email address cnaHauna e mail ina maanisha nini??
Leo ndo Ilikua interview ya WCF tumefanyia DUCE na wengine walikua IFM. Hii ni written Interview.Habari za kazi wadau naulizia mtu yoyote mwenye updates kuhusu lapf na wcf kama wamesha ita watu kwa ajili ya usaili?
Asanteni
Jitahidi uwe nayo mkuu.ndio email address cna
ok Mungu akujalie uitwe kwenye oralLeo ndo Ilikua interview ya WCF tumefanyia DUCE na wengine walikua IFM. Hii ni written Interview.
Daaah afadhali this time wametuletea interview Dodoma bhanamm nimepata email from LAPF, kuitwa kwa interview dodoma itafanyika tar 23-march, complience officer ii
dodoma kuna nnDaaah afadhali this time wametuletea interview Dodoma bhana
Daaaah mzigo ulikuwa heavy balaaa sio kwa chujuio kali kiasi ileLeo ndo Ilikua interview ya WCF tumefanyia DUCE na wengine walikua IFM. Hii ni written Interview.
Ndo makao makuu ya nchi na pia ndo headquarter ya LAPFdodoma kuna nn
Pepa ilikuwa tight kijana, mie nikaona kwa long listing ile nisipoteze nauli yanguDaaaah mzigo ulikuwa heavy balaaa sio kwa chujuio kali kiasi ile
naomba kuuliza mtihani ule wa wpf ulikua mmoja kwa nafasi zote za kazi au kila post ilikua na mtihani wake.Daaaah mzigo ulikuwa heavy balaaa sio kwa chujuio kali kiasi ile
Mtihani ulikua ni mmoja mkuunaomba kuuliza mtihani ule wa wpf ulikua mmoja kwa nafasi zote za kazi au kila post ilikua na mtihani wake.
Mi naona mara nyingi huwa wanawachukua hao waliopo intern yan ni kubahatisha tuWadau upande huu naomba kuuliza jambo
Unakuta organization ama kampun inatoa nafas za kaz na watu wanaomba kazi na hatimaye wanaitwa kwenye usaili
Lakini katika hio kazi iliyotolewa na watu kuitws usaili unakuta mtu alikua anafanya kaz katika the same position na the same organization kwa mda maybe mwaka mmoja lakin alikua anafanya kama volunteer ama internship tu,
Hivi ina mana ataachwa huyo achukuliwe mwingine?? Ina mana hata maswal ya interview hatapewa?
Hapo tunaoitwa ktk interview si tunaenda kukamilisha ratiba tu
Mkuu bas ndo swala linalolalamikiwa huko wcf, watu wanajulikana kabissa walikua intern mda tu,sasa kuna hajs gan ya ku advertise kazi na kuita watu ktk usailiMi naona mara nyingi huwa wanawachukua hao waliopo intern yan ni kubahatisha tu
Jaman ni kweli lapf wameita watu kwenye usaili???Jamani kwa hiyo kuhusu lapf ni Kweli wameita