Abuu Kauthar
JF-Expert Member
- Jul 10, 2011
- 4,501
- 6,900
mkuu
umeshapiga interview maana tarehe 23 tayari
intavyuu tarehe 26 duce
mkuu
umeshapiga interview maana tarehe 23 tayari
LAPF interview tarehe 26/4 Duce Kuanzia saa 2:30 asubuhi wanatuma ujumbe kwenye simuHabari za kazi wadau naulizia mtu yoyote mwenye updates kuhusu lapf na wcf kama wamesha ita watu kwa ajili ya usaili?
Asanteni
Nice moment miss[emoji15]mkuda ni wewe mfyuuuuuuuuuuuuuuu unatoa povu kwa yasio kuhusu
kama ujaitwa wacha watu wenye nyota zao, ww ya mkasi sugua benchi, nyambafu kabisa, watu wanaongelea point una ita wakuda