Mwenye updates za LAPF na WCF

Habari za kazi wadau naulizia mtu yoyote mwenye updates kuhusu lapf na wcf kama wamesha ita watu kwa ajili ya usaili?

Asanteni
Leo ndo Ilikua interview ya WCF tumefanyia DUCE na wengine walikua IFM. Hii ni written Interview.
 
Wadau upande huu naomba kuuliza jambo
Unakuta organization ama kampun inatoa nafas za kaz na watu wanaomba kazi na hatimaye wanaitwa kwenye usaili
Lakini katika hio kazi iliyotolewa na watu kuitws usaili unakuta mtu alikua anafanya kaz katika the same position na the same organization kwa mda maybe mwaka mmoja lakin alikua anafanya kama volunteer ama internship tu,
Hivi ina mana ataachwa huyo achukuliwe mwingine?? Ina mana hata maswal ya interview hatapewa?
Hapo tunaoitwa ktk interview si tunaenda kukamilisha ratiba tu
 
Mi naona mara nyingi huwa wanawachukua hao waliopo intern yan ni kubahatisha tu
 
Similar Discussions

Back
Top Bottom