Mwenye updates za LAPF na WCF

Louria

New Member
Jan 17, 2017
3
2
Habari za kazi wadau naulizia mtu yoyote mwenye updates kuhusu lapf na wcf kama wamesha ita watu kwa ajili ya usaili?

Asanteni
 
Kuna bnk inaitwa nmb nao wlitangaza tangu mwezi wa kumi cjui ndo watu tayari wako kazini mwnye taarifa tafadhari jaman
 
Habari za kazi wadau naulizia mtu yoyote mwenye updates kuhusu lapf na wcf kama wamesha ita watu kwa ajili ya usaili?

Asanteni
wcf walita interview itakuwa march 18, 2017. majina yapo kwenye website yao. hawa lAPF wao sijui
 
Habari za kazi wadau naulizia mtu yoyote mwenye updates kuhusu lapf na wcf kama wamesha ita watu kwa ajili ya usaili?

Asanteni
Sidhani kama mwezi huu utaisha mtakuwa mshaitwa, maombi yalikuwa mengi sana
 
Habari za kazi wadau naulizia mtu yoyote mwenye updates kuhusu lapf na wcf kama wamesha ita watu kwa ajili ya usaili?

Asanteni
mm nimepata email from LAPF, kuitwa kwa interview dodoma itafanyika tar 23-march, complience officer ii
 
kama kuna mwingine aliye pata email from LAPF, kwa nafasi hyo ya complience officer tujuzane, interview inafanyikia dodoma 23-march
 
Back
Top Bottom