Mwenye ukweli kamili juu ya Mzozo wa Mtangazaji Maulid Kitenge (CCM) na John Mrema (CHADEMA) auweke wazi

Nimeambiwa kuwa Wasafi FM Leo asubuhi wamenichafua saana na kusema kuwa Mke wangu ni Mbunge kwa sababu tu nilimtaka Spika wa Bunge aache Propaganda. Ndugu Maulid Kitenge aniombe radhi Ndani ya 24 hours as Sina mke Mbunge na sijawahi kuwa naye. Asipofanya hivyo nitajiongeza!..John Mrema
John anatafuta kiki ya kugombea naona kitenge atambeba

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Endelea kujidaganya .... Kitenge ni wale ccm kindakindaki na hapendi kinachoendelea ....

Na nimeshamwambia kuwa huyo Kitenge kuna uwezekano CCM ikampitisha Kugombea Ubunge Temeke au kwao huko Tabora.
 
ISIJE KUWA YALE YA JERRY MURO NA MWENZIE MANARA....
MANARA ALISEMA KUNA JAMBO ANALO KUHUSU MURO AMBALO AKILISEMA NCHI NZIMA ITASIMAMA NA ATAVULIWA CHEO ALICHONACHO.
HADI LEO JERRY MURO KATULIA TULIIIIII

Ni kweli Ndugu yangu yaani tokea DC Jerry Muro ajambishwe ( apigwe mkwara ) na Haji Manara juu ya hilo amekuwa Mpole.
 
ISIJE KUWA YALE YA JERRY MURO NA MWENZIE MANARA....
MANARA ALISEMA KUNA JAMBO ANALO KUHUSU MURO AMBALO AKILISEMA NCHI NZIMA ITASIMAMA NA ATAVULIWA CHEO ALICHONACHO.
HADI LEO JERRY MURO KATULIA TULIIIIII
Unaota wewe eti haji alimnyamazisha jerry. Haji alikimbilia kote mpaka msikitini mpaka tff mwamba jery anaongea mara moja tu
 
Kwani aliekimbili msikitini na tiff ni nani. Muro kiboko akiongea neno moja jamaa anachachawa
Ni kweli Ndugu yangu yaani tokea DC Jerry Muro ajambishwe ( apigwe mkwara ) na Haji Manara juu ya hilo amekuwa Mpole.
A ms
 
Huyo unayesema kuwa eti. hajawi kuwa mwana CCM kwa taarifa yako mwaka 2020 atagombea Ubunge Temeke au Tabora.
Anajipanga kama mungu atapenda kugombea Tabora kwa kutafuta maisha ila siyo mfurukutwa kivile

In God we Trust
 
Nenda Twitter utaona jibu alilotoa maulid kitenge linatosha kumaliza mjadala mwisho wa siku Mrema ndo anaepaswa kuomba msamaha kwa kuandika vitu asivyokua na uhakika navyo

Ningekuona una Akili kama hilo Jibu alilotoa Maulid Kitenge huko Twitani unalo au unalijua basi ungeliweka hapa. Acha Ujuha!!
 
Back
Top Bottom