Wangapi mmejiandaa kumpokea na kumsikiliza Maulid wa Kitenge kwa mara ya kwanza kesho asubuhi.

Mr Misifa

JF-Expert Member
Sep 13, 2019
255
500
Habari za mda huu wajameni nadhani mtakuwa poa sana


Kama ambavyo kichwa cha mada kinavojieleza vizur je ni nani amejiandaa kuwa tayar kumpokea kwa kumsikiliza mwana habar na mtangazaji pendwa na nguri wa habar za michezo Tanzania wa kuitwa Maulid wa Kitenge na kwenzake wa 3 kwa mara ya kwanza asubuhi saa 1 na jioni ndani mawimbi na masafa ya 88.9 Wasafi fm!! ??
Screenshot_20191017-193326_Chrome.jpeg
Screenshot_20191017-211348.jpeg
Screenshot_20191017-193441_WhatsApp.jpeg
Screenshot_20191017-193316_Chrome.jpeg
 

rmjusi

Senior Member
Jan 8, 2019
128
250
mwenye clip ya siku nape anatolewa machine aniwekee nimuone kitenge ktk ubora ule
 

Toa taarifa ya maudhui yasiyofaa!

Kuna taarifa umeiona humu JamiiForums na haifai kubaki mtandaoni?
Fanya hivi...

Umesahau Password au akaunti yako?

Unapata ugumu kuikumbuka akaunti yako? Unakwama kuanzisha akaunti?
Contact us

Top Bottom