Mwenye ukweli kamili juu ya Mzozo wa Mtangazaji Maulid Kitenge (CCM) na John Mrema (CHADEMA) auweke wazi

Vipindi vya Wasafi vyote vipo YouTube, Mrema kwa nini asiweke hadharani hicho kipande anachochafuliwa...Tatizo Wanasiasa wanapenda kusifiwa watu.
 
yule mbunge wa viti maalum CHADEMA pale ukonga aliemnyima ubunge mtatiro bidada Theopista ndio mke wa Mrema, kama sio mke wake basi ni hawara yake!
 
Huyo Mrema haeleweki kwanza Maulidi hajasema yale anayoyahisi.

Pili kwenye ile twit yake Mrema ameanza kusema "Nimeambiwa" baada ya kubanwa anasema "Nimesikia mwenyewe"..kitu ambacho si kweli kwani aliyesema maneno ambayo anayalalamikia ni mtu mwingine na si Maulid

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Maulidi akizichanga karata zake vizuri na mwaka huu ana kuwa mbunge.Pengo lake kwenye vipindi vya magazeti Halita zibika kwa urahisi


Sent from my iPhone using JamiiForums
 
Mlitaka Jerry aongelee nini tena kuhusu Manara, Derby si ilishakwisha na mke alishaolewa tarehe 8

Kwani Jerry ameanza juzi kumtoa knock out Manara kwenye kupigana madongo?
Ni kweli Ndugu yangu yaani tokea DC Jerry Muro ajambishwe ( apigwe mkwara ) na Haji Manara juu ya hilo amekuwa Mpole.

Sent using Jamii Forums mobile app
 
"Nina wasiwasi na IQ zetu katika kutunza memory " any way ndo ubinadamu wetu na log off.
 
Back
Top Bottom