Mwenye nyumba kanipa siku mbili tu, la sivyo...

Wewe hebu weka namba yako tukuchangie. Ukisha pata hiyo pesa jipime kama unaweza kuendelea kukaa hapa mjini!!. Kama ukiona kunashida nyingine mbele, tumia michango utakayo pata kama nauli ya kukufikisha kwenu.

Umeshachangiwa kiasi gani mpaka sasa? Nimekutumia namba yangu PM...Nipigie au nitumie msg nikupigie tuonane nikusaidie kumalizia kiasi kilichobakia.....sitanii namaanisha.Na kama kazi za vibarua unaweza nitakupatia ambapo pato lake kwa mwezi ni zaidi ya pesa ya pango unayolipa kwa mwaka

Naona faraja sana na ukarimu na utu unaoonyweshwa humu ni upendo wa Namna ya kipekee acha nami nijikakamue!

Wakuu ina maana hata Pm zangu hamkuzionaga?
Kama hiyo haitoshi nilitoa na namba hapa… lakini bado ikawa zero response!
Kwenye comments mlionesha nia kweli kweli! Nashangaa nikija inbox (PM) ndo taabu. Na bado sijafanikiwa! Japo kuna Madame mmoja humu Jf ndo alinipigia simu pekee…
ubinadamu kazi aisee!
 
  • Thanks
Reactions: amu
hahaha......Nikikumbuka bili niliyolipa jana Bar na Bajeti niliyotenga kwa Familia yangu kwa ajili ya Valentines day nikicompare na Kodi ya mshkaji ya nyumba kwa Mwaka unaweza hisi kwenye haya Maisha Mungu hayuko fair kabisa.
ndugu yangu ni kweli wote hatuko sawa na wala hata hiyo Biblia ilisema maskini watakuwepo daima nasi....'Yesu akijibu kuhusu marhamu ya Magdalen iuzwe wapewe maskini' ila naomba tu kukwambia kitu kimoja Mungu anapokupa cha ziada usifikiri ni vile eti wewe nde unatoa sana fungu au sadaka bali ni kwa kuwawezesha wenye shida kama huyu, usimcheke kama una uwezo msaidie.... Huyu nikimsoma kosa lake ni kuacha kazi au ajira akiwa hajajipanga na kwenda kwenye biashara wakati ana watu wanamtegemea. Tumekuwa tukiwaambia watu ukiacha uwe na uhakika wa unachoenda kufanya na uwe na backup na wamekuwa wakipiga kelele ohhh utumwa. Kuacha kazi bila nyumba ya kuishi wala biashara inayoeleweka ni ngumu. Kwako muombaji zidi kuomba na pia omba upate cha kufanya(nyavu) na sio cha kulipia kodi (samaki). Kama watu wenye moyo mumchangie hata kumkopa mtaji pia ili kusaidia huyo mtoto Mungu atawalipia. Siku nyingine ukifanya maamuzi fikiria familia kwanza hapa tunaongea kodi matibabu chakula au emergency nyingine bado. tunakuombea
 
Nimekuelewa saana Mama Joe…
Ugumu wa maisha ndo kipimo cha akili… sihitaji kwenda darasani tena kujua how life is… mpaka hapa ni somo tosha!
Naamini hii hali itakwisha, kazi ngumi,kujiajiri kugumu… ni muujiza tu wa kunifanya niwe kama mtu kwenye watu
 
Last edited by a moderator:

tunajifunza kwa makosa natumaini hii itakupa nguvu mpya ya kufanya chochote ili kujikwamua usichoke kuomba, usilaumu wala usilaani. Omba pia uelekezwe nini ufanye ktk maisha yako kila mtu kuna kitu amepangiwa na sio kila mtu anakiweza. tukijaaliwa tutakuchangia
 
Mbezi ipi?
Kama ni mbezi ya kimara, ni nyumba ya nani?
........... pole...............
 
ndugu yangu ni kweli wote hatuko sawa na wala hata hiyo Biblia ilisema maskini watakuwepo daima nasi....'Yesu akijibu kuhusu marhamu ya Magdalen iuzwe wapewe maskini' ila naomba tu kukwambia kitu kimoja Mungu anapokupa cha ziada usifikiri ni vile eti wewe nde unatoa sana fungu au sadaka bali ni kwa kuwawezesha wenye shida kama huyu, usimcheke kama una uwezo msaidie.... Huyu nikimsoma kosa lake ni kuacha kazi au ajira akiwa hajajipanga na kwenda kwenye biashara wakati ana watu wanamtegemea. Tumekuwa tukiwaambia watu ukiacha uwe na uhakika wa unachoenda kufanya na uwe na backup na wamekuwa wakipiga kelele ohhh utumwa. Kuacha kazi bila nyumba ya kuishi wala biashara inayoeleweka ni ngumu. Kwako muombaji zidi kuomba na pia omba upate cha kufanya(nyavu) na sio cha kulipia kodi (samaki). Kama watu wenye moyo mumchangie hata kumkopa mtaji pia ili kusaidia huyo mtoto Mungu atawalipia. Siku nyingine ukifanya maamuzi fikiria familia kwanza hapa tunaongea kodi matibabu chakula au emergency nyingine bado. tunakuombea
Mama Joe maneno yako ni mazuri sana na yanafariji....Mungu aendelee kukuzidishia baraka zake.
 
Last edited by a moderator:
Sheria ya wapangaji na wenye nyumba DSM.
Usiwaingize watu kingi wewe. Notice ipo applicable wakati masharti yote ya mkataba wamefuatwa. Kutokulipa kodi tayari mkataba umekiukwa na mwenye nyumba anaweza kusitisha mkataba kwasababu ya kukiukwa kwa masharti ya mkataba.
 
Mbezi ipi?
Kama ni mbezi ya kimara, ni nyumba ya nani?
........... pole...............

Ni mbezi ya Kimara… mwenye nyumba sidhani kama ni sahihi saana kumtaja hapa kwenye kadamnas… you never know!
 
Umeshachangiwa kiasi gani mpaka sasa? Nimekutumia namba yangu PM...Nipigie au nitumie msg nikupigie tuonane nikusaidie kumalizia kiasi kilichobakia.....sitanii namaanisha.Na kama kazi za vibarua unaweza nitakupatia ambapo pato lake kwa mwezi ni zaidi ya pesa ya pango unayolipa kwa mwaka

mkuu wiseboy. ebu mkumbushe comment yake hapo juu huyo Rural Swagga , kama ni kweli alkuwa anania atimize ahadi yake, japo sio deni. Lakini kama yalikuwa ni majigambo ya humu JF ili kuwavuta wadada Rural Swagga hujafanya vema ni kama umeleta utani penye shida! Najua Rural Swagga utakuja kulike tu hii comment kama ulivyofanya kwa comment hapo juu na kupotea....

Ni watu wachache sana wenye roho nzuri kama yako,MUNGU akubariki sana ndugu,ukimsaidia huyu bwana utazidi kubarikiwa.
 
Last edited by a moderator:
mkuu wiseboy. ebu mkumbushe comment yake hapo juu huyo Rural Swagga , kama ni kweli alkuwa anania atimize ahadi yake, japo sio deni. Lakini kama yalikuwa ni majigambo ya humu JF ili kuwavuta wadada Rural Swagga hujafanya vema ni kama umeleta utani penye shida! Najua Rural Swagga utakuja kulike tu hii comment kama ulivyofanya kwa comment hapo juu na kupotea....
Did you know the three hardest things to say are I love you, I'm sorry, and help me? Sasa kama Nasakadoo ameweza kuwa na mapafu ya kuweka shida zake humu ni kweli ana matatizo na kuhusu kutimiza ahadi hiyo ni siri yangu na yeye.....Wewe umemchangia?
 
Last edited by a moderator:
Jamani hebu tujitoe akili tumuokoe huyu ndugu yetu kwakua uwezo wetu mdogo tujichange, jamani kwa anaye jiweza akitoa elfu 10 au 20 una assume umetoa sadaka, kama amedanganya basi laana itamfuata ila kama kweli basi tunakuwa tumemsaidia huyo malaika wa miezi 7. chonde jamani.

cc. Asprin, Honey faith, Da pretty, Mr Verossa, Shyland, Utafiti,Uttoh2002, MankaM, Mahondaw,kikulachochako na wengineo.
 
I agree with you 100% lazima Mungu anazo sababu zake utakuta mchizi hata fungu la kumi hajawahi toa tokea ameanza kujiingizia kipato....Kijana azidishe maombi ni mapito tu anapitishwa kama mtumishi wa bwana Ayubu.

kabisa mkuu ... wengi utoaji hawana wanapenda kupokea ila all in all ndiyo maisha

mkuu wiseboy. ebu mkumbushe comment yake hapo juu huyo Rural Swagga , kama ni kweli alkuwa anania atimize ahadi yake, japo sio deni. Lakini kama yalikuwa ni majigambo ya humu JF ili kuwavuta wadada Rural Swagga hujafanya vema ni kama umeleta utani penye shida! Najua Rural Swagga utakuja kulike tu hii comment kama ulivyofanya kwa comment hapo juu na kupotea....

wewe ndugu yangu unakuwa kama mgeni wa jf?! humu hata wanafunzi wa sekondari ni watu wenye pesa, wanaahidi watu vibarua vyenye mishahara ya kuzidi, wanaahidi misaada, wanajinasibu maisha bora ili kutega wanawake, watu wenye moyo na pesa wala huwezi kumkuta anajinasibu pesa aliyotumia bar, sjuwi valentine na takataka zingine.
 
Life is hard. It's even harder when you're stupid. Yeah i agree with you 100% (this is JF)
 
Back
Top Bottom