Mi nilijua watu tutaanza kuchangishana hapa JF tuokoe jahazi la huyu ndugu, mbona harusi wengi wanachangia kwa nini tusimchangie huyu ndugu hata elfu kumi kumi tu waungwana pls
uzi haukuwa hcit chat ulikuwa jukwaa la biashara, umehamishiwa chit chat na mods kuja huku, so kama unaweza msaidiehebu ngoja kwanza upo siriazi au ni mautani ya chit chat...?
uzi haukuwa hcit chat ulikuwa jukwaa la biashara, umehamishiwa chit chat na mods kuja huku, so kama unaweza msaidie