Updates; baada ya wachangiaji kunitaka niweke namba hadharani nami naweka, na nashukuru kuna wadau wawili wamenipa elfu 40 privately maana niliwainbox namba.
Sasa hivi nimekimbia home nimemwambia mwenye nyumba nipo Ikwiriri anipe tena wiki namletea cash yoote hata nisipokamilisha ila angalau nitaweza kumpelekea chcochote kama mtaniwezesha. Please nawaomba hii issue sio chit chat nipo kwenye wakati mgumu kuwahi kunitokea maishani nadhani. Namba zangu ni 0712 152 914(tigo) na 0754 337317(voda)w naomba kwa atakayenisaidia hata ani pm ama maana natakiwa niwe nabadirisha laini kujua wapi pesa imeingia,kwa sasa tigo iko hewani,ila baadae ntakuwa nachange change. Asanteni.SIZE=3]Ni habari ya kweli.
Sasa hivi natanga tanga kama kuku alikatwa kichwa.nisaidie wadau. Sio uongo,ninadaiwa kodi toka JANUARY 16 sasa leo hii mwenye nyumba kanipigia simu asubuhi hii na kusema ndani ya saa 48 nitafute pa kuishi.
Nipo na Familia,nina mke na mtoto mchanga. Hapa nawaza nifanyeje nipate kodi yake. Mjini sina ndugu wa damu hata mmoja mwenye msaada wa karibu.
Na haya majanga sijapenda,ila imenilazimu tuu sina kazi,mwanzoni nilikuwa na kazi ila hizi Private Sector mishahara midogo,unanyonywa,unalipwa tarehe 40 nikaamua kuanza deiwaka,ila nako hali ni tete, mpaka sasa ni kama napumulia mashine.
Sasa humu watu tuko wenye nafsi tofauti tofauti ndo maana nimeleta bakuli hapa,kuliko kwenda Msikitini au Kanisani.
mwenye kuguswa naomba anilipie kodi naomba. Waweza nikopesha ama ukanisaidia for free.
Kodi ni sh 420,000/- chumba na sebule tu, hata nikipata nusu mi nitashukuru maana nitakuwa nimepoza kidogo na hiyo ni kwa miezi 6.
Nipo mbezi Dar es salaam aliye tayari tupeane contact Pm. Nipo tayari kukuleta mpaka ninapoishi kama utakuwa na wasi wasi na pia ni mwanzo mzuri wa kufahamiana.
Asante wadau.
[/SIZE]