Ng'wanapagi
JF-Expert Member
- Sep 18, 2013
- 9,116
- 8,662
Ngoja nimjulishe Rugemarila yule wa Escrow,andaa akaunti yako ya bank maana jamaa kutoa pesa ni kama kwenda haja ndogo vile.
Hukujua kama kunakulipa kodi....?
duh .... pole hutaki kurudi kijijini?
Pole kaka ningekushauri kutafuta chumba cha bei ya chini ili uweze kupanga mipango yako vizur hali ya kifedha kama siyo mzuri panga hata chumba cha Giza then mambo yakitengemaa tafuta room nzuri
I agree with you 100% lazima Mungu anazo sababu zake utakuta mchizi hata fungu la kumi hajawahi toa tokea ameanza kujiingizia kipato....Kijana azidishe maombi ni mapito tu anapitishwa kama mtumishi wa bwana Ayubu.
hahaha......Nikikumbuka bili niliyolipa jana Bar na Bajeti niliyotenga kwa Familia yangu kwa ajili ya Valentines day nikicompare na Kodi ya mshkaji ya nyumba kwa Mwaka unaweza hisi kwenye haya Maisha Mungu hayuko fair kabisa.
Wewe hebu weka namba yako tukuchangie. Ukisha pata hiyo pesa jipime kama unaweza kuendelea kukaa hapa mjini!!. Kama ukiona kunashida nyingine mbele, tumia michango utakayo pata kama nauli ya kukufikisha kwenu.
Daah Mkuu mbona wewe hujarudi, au bado unasaka faranga!
wanaume tumeumbwa mateso.......................
Mungu kweli hayupo fair japo kafanya hivi kwa sababu fulani
Umeshachangiwa kiasi gani mpaka sasa? Nimekutumia namba yangu PM...Nipigie au nitumie msg nikupigie tuonane nikusaidie kumalizia kiasi kilichobakia.....sitanii namaanisha.Na kama kazi za vibarua unaweza nitakupatia ambapo pato lake kwa mwezi ni zaidi ya pesa ya pango unayolipa kwa mwakaSijapenda ndugu yangu hali hii… sijapenda kuja kutangaza njaa/shida zaangu hapa. Sijapenda kabisa!
acha kumsingizia mungu hahusiki kabisa!