Polisi jamii
JF-Expert Member
- Mar 22, 2013
- 2,603
- 1,385
Hukujua kama kunakulipa kodi....?
Id Yako Inasema Unasaka Mrembo Halafu Unakuja Kuomba Usaidiwe Inawezekana Kweli,kingine Una Multiple Id Wewe Upo Kwenye Usenior Member Umejuaje Hili Jukwaa Na Umewajuaje Watu Wahumu Kwa Threads Zao Tyta Njoo Usaidie Hapa Kwa Uchunguzi Zaidi
Wewe ungekuwa mama yangu mzazi, lazima ungenitelekeza au kunifanyia abortion tu.Hapa haunijui lakini ona unavyo ninyanyasa kama mama wa kambo.
Sawa ndugu,ngoja kwanza nimalizane na huyu mzee kwa amani kwanza! Sio vizuri kukimbia kodi
hata wewe ungekuwa mke wangu na una mimba ningekuwekea majivu nikufanyie abortion bila ganzi.
Hukujua kama kunakulipa kodi....?
Updates; baada ya wachangiaji kunitaka niweke namba hadharani nami naweka, na nashukuru kuna wadau wawili wamenipa elfu 40 privately maana niliwainbox namba.
Sasa hivi nimekimbia home nimemwambia mwenye nyumba nipo Ikwiriri anipe tena wiki namletea cash yoote hata nisipokamilisha ila angalau nitaweza kumpelekea chcochote kama mtaniwezesha. Please nawaomba hii issue sio chit chat nipo kwenye wakati mgumu kuwahi kunitokea maishani nadhani. Namba zangu ni 0712 152 914(tigo) na 0754 337317(voda)w naomba kwa atakayenisaidia hata ani pm ama maana natakiwa niwe nabadirisha laini kujua wapi pesa imeingia,kwa sasa tigo iko hewani,ila baadae ntakuwa nachange change. Asanteni.SIZE=3]Ni habari ya kweli.
Sasa hivi natanga tanga kama kuku alikatwa kichwa.nisaidie wadau. Sio uongo,ninadaiwa kodi toka JANUARY 16 sasa leo hii mwenye nyumba kanipigia simu asubuhi hii na kusema ndani ya saa 48 nitafute pa kuishi.
Nipo na Familia,nina mke na mtoto mchanga. Hapa nawaza nifanyeje nipate kodi yake. Mjini sina ndugu wa damu hata mmoja mwenye msaada wa karibu.
Na haya majanga sijapenda,ila imenilazimu tuu sina kazi,mwanzoni nilikuwa na kazi ila hizi Private Sector mishahara midogo,unanyonywa,unalipwa tarehe 40 nikaamua kuanza deiwaka,ila nako hali ni tete, mpaka sasa ni kama napumulia mashine.
Sasa humu watu tuko wenye nafsi tofauti tofauti ndo maana nimeleta bakuli hapa,kuliko kwenda Msikitini au Kanisani.
mwenye kuguswa naomba anilipie kodi naomba. Waweza nikopesha ama ukanisaidia for free.
Kodi ni sh 420,000/- chumba na sebule tu, hata nikipata nusu mi nitashukuru maana nitakuwa nimepoza kidogo na hiyo ni kwa miezi 6.
Nipo mbezi Dar es salaam aliye tayari tupeane contact Pm. Nipo tayari kukuleta mpaka ninapoishi kama utakuwa na wasi wasi na pia ni mwanzo mzuri wa kufahamiana.
Asante wadau.
[/SIZE]
Mpaka sasa mimi nimepewa elfu 60 tuu! Na walionipa wala hawaja comment hapa,nadhani walisoma thread then wakanifuata PM na kuwasiliana na mimi,ni watu watatu. Ila kwa wote ambao wamecomment hapa woote sijapata hata mmoja Pm wala kwingineko, kama atatokea nitasema hawa walionipa baadhi walisema nisiwa publish Id zao maana huku kuna baadhi ya memba wanafahamiana.
So ningeomba kama kweli ni watu wa kutenda tutende, na mimi sio kwamba nimekaa tuu. Nahangaika hapa na pale,wakati huo huo natakiwa nile,ninywe,familia ile inywe,na vyoote hivyo. So naona tatizo halijatatuka hata robo yake so far.
Kwa walioniahidi hapa basi ningewaomba mtimize,maana tayari nawapm namba then kimyaa!
Sheria ya wapangaji na wenye nyumba DSM.
Umeshachangiwa kiasi gani mpaka sasa? Nimekutumia namba yangu PM...Nipigie au nitumie msg nikupigie tuonane nikusaidie kumalizia kiasi kilichobakia.....sitanii namaanisha.Na kama kazi za vibarua unaweza nitakupatia ambapo pato lake kwa mwezi ni zaidi ya pesa ya pango unayolipa kwa mwaka
Rural SwaggaUbarikiwe sana mkuu kwa kujitoa kwako. Hakika Mungu atakulipa maradufu.
watu wa type hii wanavuta oxygen ya bure2 hapa duniani ni heri hata wangegeuka jiwe2 ili ijulikane sio binadamu.
Pole kaka, ila kiushauri ni kwamba sheria ya makazi hasa kwa mpangaji unahaki ya kukaa hio nyumba ndani ya miezi mitatu baada ya mkataba wako kuisha ili upewe fursa ya kujipanga kuweza kuhama!!
Hivyo kama mkataba wako uliisha jan 16 basi ujue miezi yako mitatu kisheria ita expire 17 April.
Muombe na umueleze hayo landlord wako akigoma nenda serikali za mtaa kwa msaada zaid, USINYANYASIKE SHERIA INAKULINDA!!!
kuwa muangalifu sana na kauli rejareja dogo. unakua utayaona
Unaweza kuwa lemutuz. Sasa usiwakashifu watu wenye mahitaji ndugu.nitakuwa mara ngapi sasa dogo? chunga nawe mimi ni miongoni mwa babazako wenye nyumba....
Unaweza kuwa lemutuz. Sasa usiwakashifu watu wenye mahitaji ndugu.