Desire Dizaya
JF-Expert Member
- Feb 16, 2015
- 6,475
- 11,674
hapo sheria ya wanyama pori mzee ndo inawalinda hao yanga ooooh sorry simba
Bahati nzuri dereva wa hizo ndinga siyo TP Mazembe.
Yule alokaa mbele kabisa peke ake...anaongoza mashambuliziKwahiyo Kagere ndio yupi hapo?
Hapo haogopwi simba anaogopwa mweusi mwenzetu anayewalinda simba!..
Hivi unajua wakiamua kuliparamia gari na kushambulia huchomoki?wana nguvu sana hawa wanyamaaggyjay waliolala hawana nguvu dhidi ya gari isipokuwa kisheria zinazowalinda tu
Sent using Jamii Forums mobile app
pia wao simba wanaogopa gari ujueHivi unajua wakiamua kuliparamia gari na kushambulia huchomoki?wana nguvu sana hawa wanyama
Ni kweli sheria inawalinda pia
Sent using Jamii Forums mobile app
Ngoja nisitie neno hapa ila nilishawahi kuwalaza ng'ombe 13 maeneo ya Lugeye kisesa mwanza na chuma likatembea ila ilibondeka kwa mbele mifugo chali ije kuwa hao simbaHivi unajua wakiamua kuliparamia gari na kushambulia huchomoki?wana nguvu sana hawa wanyama
Ni kweli sheria inawalinda pia
Sent using Jamii Forums mobile app
Ngoja nisitie neno hapa ila nilishawahi kuwalaza ng'ombe 13 maeneo ya Lugeye kisesa mwanza na chuma likatembea ila ilibondeka kwa mbele mifugo chali ije kuwa hao simba
Nakuambia hivi unapaona pale lamadi kwenda bunda kuna fisi watatu walikuwa wanakimbizana road FordRanger nimeitungua nawahisha watu mazishini ii kesho warudi mwanza alfajiri hiyo nilipita nao kama matuta
Nakuambia hivi unapaona pale lamadi kwenda bunda kuna fisi watatu walikuwa wanakimbizana road FordRanger nimeitungua nawahisha watu mazishini ii kesho warudi mwanza alfajiri hiyo nilipita nao kama matuta
Uongo wa nini au unataka nikupe mikasa yote niliyowahi kuipata nikiwa dereva wa vyombo vya moto?