Vimulimuli, Ving'ora na Saluti - Alama za Uhalali Wao?

Mzee Mwanakijiji

Platinum Member
Joined
Mar 10, 2006
Posts
34,239
Reaction score
44,477
1000317306.jpg

Na. M. M. Mwanakijiji

Askari wanapokuja kukukamata wanajitambulishaje? Unajuaje watu waliokusimamisha au wanaodai kuwa ni "maafisa usalama au askari" kweli ni maafisa usalama? Je, ukiwa na mashaka nao unaweza kupiga simu namba gani au umpigie nani kuuliza?

Watanzania katika mazingira ya utekaji tumekubali kuwapa uhalali kwa bunduki. Yaani, mtu akikusimamisha huku amebeba bundling au wakiwa kwenye gari wanamchukua mwenzenu kisa tu Wana bundling inabidi mkubali kwa kudhania wanaofanya hivyo ni maafisa wa usalama. Matokeo yake tunawapa uhalali kwa bunduki (the gun mandate).

Imefikia mahali kuwa hata kama hakuna uchaguzi halali umefanyika tumekubali kuwapa uhalali kwa sababu kuna vimulimuli, ving'ora na saluti!! Na was wanajua hili. Hawaitaji kutushawishi tena kwa maneno wala kwa hoja. Ushawishi siyo tena wa nguvu za hoja Bali hoja za nguvu. Wanasema mwenye nguvu mpishe!!

Tukumbuke kuwa Muammar Gadaffi alikuwa na vimulimuli, ving'ora. Na saluti;

Mladic Generali wa Kiserbia aliyekuwa anatumikia kifungo cha maisha ICC alikuwa na vimulimuli, ving'ora na saluti!;

Hosni Mubarak alikuwa na vimulimuli, ving'ora na saluti;

Utawala wa Samia hauwezi kutegemea hofu, woga, wasiwasi, nabkutokuaminiana. Hauwezi kushinda nguvu za hoja kwa kutegemea hoja za nguvu za risasi! Watampigia saluti, wataapishana na misafara yao itaongezwa vimulimuli na ving'ora!

Lakini maswali yatabakia...na hayatojibiwa mpaka yatakapojibiwa kwa hoja!!! Na mengine yataendelea kuja! Hayaishi mpaka yaishe!!

Haya pigeni saluti!!!
 
Kila nikiyasoma ya akina Charles Taylor,na yaliyompata Gaddafi na wengine wengi huwa naonaga kiti kile ni fantasy tu .. mambo yakiamua kukugeuka unajiuliza hivi mimi kweli nilikuwa Rais?.. noma sana... Suleiman alikuwa sahihi aliposema kila kitu ni ubatili mtupu
 
Naam Suleimani alikua na akili nyingi sana wakati ukuta
 
Wanakuja Ila Sasa vitu vimekuwa interesting..shahidi nambari moja ni huyu Nchimbi.
Mkuu, kuja wafike hao ICC si tayari 2030 itakuwa hii hapa and mambo yatakuwa yaishachange pakubwa sana, huoni kwamba watatoboa.

Nafikiri mida sahihi wa hao ICC ulikuwa ndio huuu.

Unafikiri hata huyo nchimbi watakubali akawe shahidi namba moja ?. Mpaka hao ICC wafike nafikiri kuna namna tu itakuwa ishafanyika kubadili kabisa hali ya mambo. Ndio maana naona hao ICC muda sahihi wao ulikuwa ni huuu
 
Kila nikiyasoma ya akina Charles Taylor,na yaliyompata Gaddafi na wengine wengi huwa naonaga kiti kile ni fantasy tu .. mambo yakiamua kukugeuka unajiuliza hivi mimi kweli nilikuwa Rais?.. noma sana... Suleiman alikuwa sahihi aliposema kila kitu ni ubatili mtupu
Haiko mbali kwetu hapa
 
Mkuu Siasa na Uongozi vipo kwa sababu moja tu,.to accumulate and exercise power,sio kua sahii au kutawala vizuri..

box la Kura halina nguvu kuzidi box la risasi,.

Wanaapishana sababu hapa kwetu Voting haina power ya kumpa mtu madaraka,ila wenye Power ndio wanaamua nani apewe madaraka(in the long run)..

The only solutions ni Katiba mpyabya wananchi,tume huru ya uchaguzi na si vinginevyo..
 
Back
Top Bottom