Leonardchama7
JF-Expert Member
- Apr 14, 2018
- 2,964
- 4,052
Huruhusiwi kukidhuru kiumbe chochote unapokuwa ndani ya hifadhi,kufanya hivyo ni kosa kisharia
Sent using Jamii Forums mobile app
Sent using Jamii Forums mobile app
Nakuambia hivi unapaona pale lamadi kwenda bunda kuna fisi watatu walikuwa wanakimbizana road FordRanger nimeitungua nawahisha watu mazishini ii kesho warudi mwanza alfajiri hiyo nilipita nao kama matuta
Hahaa mkuu comment yako naifikisha vyombo husika.
Sent from my iPhone using JamiiForums
Kuna vingine huwa vinajichanganya vyenyewe nyoka nimewakanyaga sanaHuruhusiwi kukidhuru kiumbe chochote unapokuwa ndani ya hifadhi,kufanya hivyo ni kosa kisharia
Sent using Jamii Forums mobile app
Ulienda mikumiWahenga hawakukosea
View attachment 1051571View attachment 1051573
Sent using Jamii Forums mobile app
Labda ingekua bajaji lkn sio kwa gari, hapo ni sheria za wanyama pori tu ndio zinawalinda.Hivi unajua wakiamua kuliparamia gari na kushambulia huchomoki?wana nguvu sana hawa wanyama
Ni kweli sheria inawalinda pia
Sent using Jamii Forums mobile app
Hapo itakuwa wote walirudi walipotoka.
Ningegeuza shoga japo kama ningekuwa na dereva mwenzangu ningemuachia ageuke sababu mwili wote ungekufa ganzi na kugeuka kwa haraka isingekuwa kazi rahisi. 😀😀
Ningegeuza shoga japo kama ningekuwa na dereva mwenzangu ningemuachia ageuke sababu mwili wote ungekufa ganzi na kugeuka kwa haraka isingekuwa kazi rahisi. [emoji3][emoji3]
Tena ukiangalia Simba mwenyewe sio mmoja. Hatari sana hapo mwaya.