Mwenye gari namba T 696 BUC anitafute haraka

asante sana mkuu
nitafurahi sana kama mwenyewe akipatikana.

nitakuwa nimeacha historia katika kazi yangu ya ULINZI.

Dada Rebecca sio kwamba hio gari tumeshindwa kuifanyia umafia, No dada kuna watu bado wana utu na vitu vya watu.

You can not be bad all the time
Asubuhi tu kuanzia saa 2. Ntaweka hapa taarifa zake angalau watu wamtafute na wajue shida nn.

Sent using iphone x

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Gari yenyewe hio
samahanini kwa ubora wa picha
Simu ya Mlinzi ni mbovu kidogo
IMG_20140101_115904.jpeg


Sent using Jamii Forums mobile app
 
Habari zenu wakuu?
Bila shaka mko salama!

Kuna taarifa fupi tu ningependa kuwapatia.

Kuna gari imepaki sehemu fulani hapa Dar es salaam kwa takribani miezi minne sasa bila taarifa yoyote.

Mwenye gari hajulikani wala haijawahi kuja kuuliziwa.

Mpaka sasa tunashangaa hii gari alieipaki kapatwa na shida gani mpaka kashindwa kuirejea?

Au ina majanga gani hapa jijini?

Gari namba ni T 696 BUC, RANGI YA BLUE BAHARI. Gari ni ndogo tu ya watu 4-5.

Haina tatizo lolote kama kuondolewa vioo, tyre wala nini. INALINDWA MPAKA MWENYEWE AJE na atoe maelezo.

Kama una taarifa zake njoo PM

(picha sitaweka hapa kwa sababu maalum)
Hii kweli siyo ya yule tajiri wetu wa Kihaya wa JF anayetupigishaga stori zake... inawezekana alienda sokoni akaisahau maana alikuwa ampe omba omba mmoja zawadi mwenyewe alirudi home na ile Bentley yake...
 
Back
Top Bottom