Mwenye gari namba T 696 BUC anitafute haraka

Mwenye gari namba T 696 BUC anitafute haraka

Aisee natafuta boneti ya mbele ya IST NEW MDL mwezi sasa unakatika ngoja nizungukie mitaa ya city center Leo navaa barakoa nyeusi na mzura
 
Wewe mleta mada hujielewi kabisa,, tena zero bin sufuri kama sio sufuria!

Tukio kama hilo ripoti Serikali za mtaa kisha wao wataripoti Polisi, sio kuja kutoa taarifa humu
 
Wewe mleta mada hujielewi kabisa,, tena zero bin sufuri kama sio sufuria!

Tukio kama hilo ripoti Serikali za mtaa kisha wao wataripoti Polisi, sio kuja kutoa taarifa humu
Asante mkuu ubarikiwe
 
Taarifa jeshi la Polisi mmepeleka?
Inaweza kuwa iliibiwa hata mikoani au mwenye nayo asiwe kwenye hii mitandao nahiyo taarifa isimfikie.
 
Labda alisafiri kwenda nje sasa amekumbana na lockdown huko?
 
Similar Discussions

Back
Top Bottom