Mwenye CV ya Spika (Mussa Zungu)

Mwenye CV ya Spika (Mussa Zungu)

That went over your head, mkuu.

My point is, mtu kuwa TISS either ukweli au kuzushiwa hakuna tija, hadi vichaa wanaitwa TISS bongo, hujawahi kusikia? Moreover, TISS nini cha maana wamefanya hadi leo?
Hawajafanya cha maana,tuifute na majukumu yao tukupe wewe na ukoo wako
 
Ni Mtanzania halisi?
Nimjuavyo, kwao ni Mtaa wa Uhuru Kariakoo. Alikuwa bahari wakati fulani hadi aliporejea na kujiingiza kwenye siasa za mtaani. Zaidi ya hapo, sijui kama ana shule yoyote ingawa kwenye magazeti wanasema ni mhandisi wa ndege.
 
Ni Mtanzania halisi?

Ndiyo maana akapelekwa mafunzo nchini Canada, kisha kujiunga na jeshi la wananchi wa Tanzania JWTZ / TPDF

Inaonesha miaka hiyo haikujalisha nasaba yako , bali kama ni mzalendo unaweza kuajiriwa vitengo nyeti na katika vyombo.

Babu yangu aliniambia kuwa kuvuja taarifa za kuwepo njama za mapinduzi, zilianzia kutoka kwa mtanzania tajiri mzalendo mgiriki (mzungu) ambaye alikuwa mmiliki wa hoteli ya Motel Agip jijini Dar es Salaam.

Huyu mgiriki alikuwepo katika listi ya watanzania wa asili mbalimbali waliokuwa wakitegemewa kupenyeza taarifa nyeti kwa vyombo vya usalama.

Tukumbuke hata mzee Dewji mnyiramba wa Singida alishiriki vita vya Kagera na kuendesha Lori hadi mpakani mwa Uganda na Sudan huko Arua akiwa mgambo aliyejitolea kushiriki katika vita hiyo ya Kagera

Jeshi kulikuwepo watu wa nasaba mbalimbali za wazalendo wa kiTanzania na hata kushiriki kutaka mbadiliko (uhaini ) au pia walishiriki kuzuia uhaini kama raia wengi waTanzania.


SOMA ZAIDI : mchango wa raia wa kigeni kabisa wasio raia :
 
Back
Top Bottom