gallow bird
JF-Expert Member
- Aug 10, 2024
- 12,959
- 15,886
Mtanzania halisi yukoje?Ni Mtanzania halisi?
Mtanzania halisi yukoje?Ni Mtanzania halisi?
Hakuna cha engineer hapo,huyo ni fundi mchundo tu.TechnicianAircraft Engineer
Akina zungu,mwarabu,msomali wapo wengi tu,ni majina Yao haswaYeye mwenyewe wakati anaapa alimalizia na Zungu.Kwani Zungu ni jina lake rasmi.?Huyu Zungu ana matatizo ya akili.
Bila shaka ni TISS huyu.
Ila fundi magari mechanical engineerHakuna cha engineer hapo,huyo ni fundi mchundo tu.Technician
Nyambafu,acha ushabiki wa kinyambafu.Akina zungu,mwarabu,msomali wapo wengi tu,ni majina Yao haswa
Yeye mwenyewe wakati anaapa alimalizia na Zungu.Kwani Zungu ni jina lake rasmi.?Huyu Zungu ana matatizo ya akili.
Huyo tiss,ukiangalia kufanya kazi jeshini,akatupwa kwenye ubaharia,halafu mara mwenyekiti wa bunge,naibu spika,mara nyingi tu,na leo spika..hiyo trend haiji tu
Nyi washamba wa bara mna shida sanaNyambafu,acha ushabiki wa kinyambafu.
Huyo tiss,ukiangalia kufanya kazi jeshini,akatupwa kwenye ubaharia,halafu mara mwenyekiti wa bunge,naibu spika,mara nyingi tu,na leo spika..hiyo trend haiji tu
CocainAlikuwa anafanya kazi gani mkuu ?
Na mirungiAna uraia pacha hapo alipo.
Umri umeenda sana,
Hana busara ya kuongoza Bunge , sababu ya historia yake ya kushiriki kufanya Biashara za kihuni enzi izo kk.
Na ndio maana unaona anaropoka hovyo TU 😂 , hata akiwa Yuko mbele ya Bunge, tegemeeni Bunge kuendeshwa kihuni/ mafia.
Huku zungu katikati Maza mbele ema , ngoja tuone hizi kete zitakavyo sukumwa.
Ni mraaibu wa Tambuu.
Muuza ngada mbobevu***
- Elimu ya sekondari
- Skolashipu ya serikali kwenda kusomea Ufundi wa ndege nchini Kanada
- Ajira Fundi wa ndege JWTZ Kamandi ya anga mara baada ya kurudi nchini
- Veterani wa Vita ya Kagera kumgoa Nduli Idi Amin Dada 1978 /79
- Afisa mtambuzi / military intelligence TPDF
- **Utumishi JWTZ akastaafu mapema 1982 / 1983 vuguvugu la uhaini ?? dhidi ya utawala wa Nyerere ??
- Askari wa akiba JWTZ
- Kujitupa katika Biashara
- Kujiunga na Siasa
- Mbunge
- Naibu Spika
- Spika
Ana D mbiliMtanzania halisi yukoje?
Nsibu Meya Ilala?***
- Elimu ya sekondari
- Skolashipu ya serikali kwenda kusomea Ufundi wa ndege nchini Kanada
- Ajira Fundi wa ndege JWTZ Kamandi ya anga mara baada ya kurudi nchini
- Veterani wa Vita ya Kagera kumng'oa Nduli Idi Amin Dada 1978 /79
- Afisa mtambuzi / military intelligence TPDF
- **Utumishi JWTZ akastaafu mapema 1982 / 1983 vuguvugu la uhaini ?? dhidi ya utawala wa Nyerere ??
- Askari wa akiba JWTZ
- Kujitupa katika Biashara
- Kujiunga na Siasa
- Mbunge
- Naibu Spika
- Spika
Huyu ni raia wa Afghanistan 🇦🇫Ni Mtanzania halisi?
Lazima.
Hata sijui, 😂😂😂😂TZ kila mtu ni TISS hata waokota makopo barabarani ni TISS usiwaone vile wapo kazini pale 😁
Nini cha maana TISS wamewahi kufanya toka kuanzishwa kwao?