Serously? sasa mbona anakuwaga wa hovyo sana?Mbwiga ni graduate wa mass communication toka somalia state university(sosu) amewahi kuwa msemaji wa col.mumamar ghadafi hadi alipopinduliwa. Akaja huku songea akawa afisa habari wa mamlamka ya maji safi(souwasa),then
akahamia wafu fm. Ameoa mchina.
Mbwiga ni graduate wa mass communication toka somalia state university(sosu) amewahi kuwa msemaji wa col.mumamar ghadafi hadi alipopinduliwa. Akaja huku songea akawa afisa habari wa mamlamka ya maji safi(souwasa),then akahamia wafu fm. Ameoa mchina.
Mbwiga ni Graduate wa UDSM alisomea bachelor of degree in masters Diploma.
Alishafanya kazi kama msemaje wa EWURA, TRA na BOT hadi alipoamia clouds fm!
Kuna jingine mnataka?
:brushteeth:
serously? Sasa mbona anakuwaga wa hovyo sana?
Du hiyo kali! Kwa radio serious huwezi kumrushamtu on air kwa mtu siyo professional kama huyu, watu wako ktk foleni kwenda kazini wanakata kusikia news na michezo halafu mtu hata kusoma hajui, bora usingeweka hicho kipindi.
Clouds FM ndio Kampuni/Taasisi pekee Tanzania ambayo wanaajiri na kuwaweka ofisini wazaramo