Idimi
Platinum Member
- Mar 18, 2007
- 15,506
- 11,439
Nyie angalieni CV wenzenu wanapeta. Aliekwambia bongo nchi ya kuangalia CV nani? Watu wanaangalia nani yupo wapi itumike nafasi hiyo kuchomekana kwisha habari.
Duh. Majanga
Nyie angalieni CV wenzenu wanapeta. Aliekwambia bongo nchi ya kuangalia CV nani? Watu wanaangalia nani yupo wapi itumike nafasi hiyo kuchomekana kwisha habari.
Habari wana JF, hii asubuhi Mbwiga ameshindwa ku peruzi magazeti Clouds fm, sidhani hata kama darasa la saba alimaliza, mwenye CV yake atujuze tafadhari.
Nawakilisha.
Mbwiga ni graduate wa mass communication toka somalia state university(sosu) amewahi kuwa msemaji wa col.mumamar ghadafi hadi alipopinduliwa. Akaja huku songea akawa afisa habari wa mamlamka ya maji safi(souwasa),then akahamia wafu fm. Ameoa mchina.
hahahahahaha that's funny kwali.......
Sio kweli kuwa ameshindwa kusoma zile zilikuwa ni mbwembwe za kuchangamsha kipindi. Unaelewa kile kipindi kina mchanganyiko wa utani, seriousness na casual. Usilinganishe na TBC ambako watangazaji wake ni kama mapadri na masister au kama watu waliopigwa sindano ya ganzi mdomoni! Clouds wanaangalia uwezo na wanakuza vipaji sio mavyeti kibao wakati uwezo ni low.
ni mdharamu wa mwanalumango, class seven, kada wa chama chakavu na mwanachama nguli wa yanga sport club, alikuwa mc wa vigodolo magomeni, kigogo na mwanayamala bas na sasa ni mtangazaji wa blouz fm.. Ndio cv yake hiyo.
Habari wana JF, hii asubuhi Mbwiga ameshindwa ku peruzi magazeti Clouds fm, sidhani hata kama darasa la saba alimaliza, mwenye CV yake atujuze tafadhari.
Nawakilisha.
Tatizo watu mnakariri kuwa elimu ndio inaweza kukutoa peke yake mnasahau kipaji na bidii ni vitu ambavyo vinahitajika sana...
Wapo watu wamesoma sana humu lkn hawana cha maana wanachofanya hata kujiajiri hawawezi mwambie alete c.v imejaa page 4 lkn kichwani kweupe...ukiona mtu anaulizia c.v za watu ujue yeye hana kazi anataka kujua c.v za watu wenye kazi zikoje afananishe na yake...