ISSA SHARAFI
JF-Expert Member
- Apr 25, 2012
- 407
- 75
Clouds kipaji kwanza vyeti baadae na ndo maana watangazaji wengi wamepata diploma na degree wakati wako mzigoni......
Mbwiga ni Graduate wa UDSM alisomea bachelor of degree in masters Diploma.
Alishafanya kazi kama msemaje wa EWURA, TRA na BOT hadi alipoamia clouds fm!
Kuna jingine mnataka?
:brushteeth:
Haina tofauti na ya dr Slaa mbona?
you sound like you're having sort of a girlish envy over mbwiga.get a life.Kama ni hivyo kwa nini wewe/nduguyo/mwanao/ rafiki yako wanahangaika na kugharamia kupata taaluma mbalimbali? kuna haja gani ya kuwa na vyuo vya taaluma mbalimbali? Kwa kweli haya ni mawazo potofu ya hali ya juu sana niliyosikia toka mwaka huu uanze!!
HATARI PALEEEE MBiga wa mbwiguke ..wemberu wemberu sako la nyani ngedere hawakosi ,eee ndio mbwiga umeona wapi sanamu likaamkiwa...? BIG UP MBWIGA WANAO KUDIS WANAKUBALI KAZI YAKO...ET CV ..wewe cv ndio inatangaza ? hata kauweledi kakuzaliwa kanatosha VYETI vyenyewe mnafoji ...UKIONA TANGAZO LIMECHANWA UJUE LISHASOMWA...mbona kuna host kibao wafanya pumba kwenye tv/radio staions ,ACHEN HIZO BANDUGU KILA MBUZI ATAKULA KWA UREFU WA KAMBA YAKE ....Wenye vimastars baadhi tunasota na wenye std 7mjiin na wengine std7 wametusua kuliko..... KUMDISCUSS MTU AMBAYE ANAREKEBISHA NJIA YA CHOONI ISIOTE NYASI NI UMBURURA NA SIO BURE UTAKUWA UMEVURUGWA .....MBWIGA UPO JUU ....
,
Mbwiga manayake nimtu mropokaji napia masikia kasomea mbande
Huyu hapa Mbwiga orijino! Kumbe ni member mwenzetu, kweli elimu yake imejaa matobo hadi jina lake kuandika ni tatizo!
Clouds kipaji kwanza vyeti baadae na ndo maana watangazaji wengi wamepata diploma na degree wakati wako mzigoni......
you sound like you're having sort of a girlish envy over mbwiga.get a life.
sisi binadamu mkuu tupo kimakundi , kuna wanaompinga kwa sababu zao na wanao mkubali vile vile , mbona mr. bean ana tukuzwa uingereza kuna lipi anaelimisha jamii ,zaidi ya kucheka tu. the same to mbwiga habari anaiwekea manjonjo hata wasioenda shule wanapata picha ya kuelewa habari hizo kwa kufurahi na kwa kufuatilia kwangu hakuna mtu watu wanataka kumsikia kama mwiga na ndiyo maana wakamuweka katika kipindi cha power breakfast, mwanzo alikuwa hayupo
Mbwiga ni Graduate wa UDSM alisomea bachelor of degree in masters Diploma.
Alishafanya kazi kama msemaje wa EWURA, TRA na BOT hadi alipoamia clouds fm!
Kuna jingine mnataka?
:brushteeth:
na gwee wa ukae?mlongele mbwiga kwa momba ugoni kwa shomvi manyafunyafu