Mwenye CV ya Mbwiga

Mwenye CV ya Mbwiga

ni mdharamu wa mwanalumango, class seven, kada wa chama chakavu na mwanachama nguli wa yanga sport club, alikuwa mc wa vigodolo magomeni, kigogo na mwanayamala bas na sasa ni mtangazaji wa blouz fm.. Ndio cv yake hiyo.

Katika yote nimependa hapo tu ni mwanachama nguli wa YANGA.
 
Mbwiga ni Graduate wa UDSM alisomea bachelor of degree in masters Diploma.
Alishafanya kazi kama msemaje wa EWURA, TRA na BOT hadi alipoamia clouds fm!

Kuna jingine mnataka?
:brushteeth:

Ndio Picha kwa hisani yako mwenyewe.
 
Nyie angalieni CV wenzenu wanapeta. Aliekwambia bongo nchi ya kuangalia CV nani? Watu wanaangalia nani yupo wapi itumike nafasi hiyo kuchomekana kwisha habari.

Sijui wanataka mashemeji zetu wakale wapi wakati tuna vijidemu kibaaaao
 
Habari wana JF, hii asubuhi Mbwiga ameshindwa ku peruzi magazeti Clouds fm, sidhani hata kama darasa la saba alimaliza, mwenye CV yake atujuze tafadhari.
Nawakilisha.

Aliuza nyumba jangwani akazimalizia makutano(kwa Ima)ashukuru clouds fm ingekula kwake
 
mmuache Mbwiga, Boss Ruge ilishawahi kusema Clouds hakuna ch cv, uliza Shadee alipata vp ajra nyie mnaokomaa na cv mtazunguka sana kwny makampuni kutafuta ajira.
 
Mbwiga ni Graduate wa UDSM alisomea bachelor of degree in masters Diploma.
Alishafanya kazi kama msemaje wa EWURA, TRA na BOT hadi alipoamia clouds fm!

Kuna jingine mnataka?
:brushteeth:

umetulisha matango pori
 
Mbwiga kasoma hadi form 4 iliyokuwa Forodhani secondary school 1989-1992,tulisoma nae shule 1 sema mie nilimtangulia vidato viwili

Je alikuwa 'kilaza' kama alivyo sasa? Hata wageni wakimsikia huyu jamaa watashangaa sana. Clouds 'wanaokota' wazururaji na kuwapa kazi kwa malipo kiduchu. Kumbuka hata yule binti anayejjita Diva (sijui kama bado anatangaza) alipewa kibarua cha kutangaza usiku na kusikiliza kesi za mahusiano akiwa bado mwanafunzi; tena mdogo na asiye na uzoefu wowote wa mambo ya familia na ndoa.
 
mbwiga ni mshereheshaji kama alivyotangulia kusema mtu mmoja hapa jf na anafit vizuri kwenye hiyo nafasi yake na ana washabiki wengi sana kwa sasa mimi binafsi naffikiri cv sio muhim sana kuna watu wana cv kubwa sana hapa nchini lakini wamefanya mafyongo makubwa sana na watanzania leo hii tunataabika sana kwasababu yao lakini nina imani kubwa siku zijazo mbwiga atakua imara sana fuatilia larry king wa cnn alikoanzia na baadae akawa maarufu sana na mahiri katika kipindi alichokua anaendesha
 
Mbwiga, Mbwiga, Mbwiga unatisha kama radi, elimu yako haijulikani lakini unafanya kazi ktk redio ya mjini. Humu JF, kuna mijitu ina masters inamlilia Kikwete aipe ajira. Na nadhani wengine wanakuomba nauli.
Clouds FM kazeni buti. Naunga mkono falsafa yenu ya kutaka matokeo sio vyeti. Mbwiga wa wa waa

Mbwiga ni graduate wa mass communication toka somalia state university(sosu) amewahi kuwa msemaji wa col.mumamar ghadafi hadi alipopinduliwa. Akaja huku songea akawa afisa habari wa mamlamka ya maji safi(souwasa),then akahamia wafu fm. Ameoa mchina.

Mbwiga ni Graduate wa UDSM alisomea bachelor of degree in masters Diploma.
Alishafanya kazi kama msemaje wa EWURA, TRA na BOT hadi alipoamia clouds fm!

Kuna jingine mnataka?
:brushteeth:

Alipewa PhD ya heshima toka UDOM!

Alikuwa ana brush pale chiji ya jengo la kitega uchumi kipindi kile office za clouds fm zipo jengo la kitega uchumi....

Mdomo wake ajira tosha c.v mbwembwe tu!....dah!bongo noma hadi mbwiga analetewa zengwe duh!

Namkubali sana Mbwiga kwa amsha amsha zake na mbwembwe nyingi! Nyie mnaoangalia CV ya kila mtu endeleeni tu kuhangaika! Wewe unayehoji kwanza CV yako kwani ikoje?

Leo ni siku ya Maulid..foleni ya kwenda kwenye kazi gani? by the way mbona amedondoa vizuri tu vichwa vya habari....ingawa alishindwa magazeti ya kiingereza. Nakushauri uwe unamsikiliza kwenye sport extra utampenda.

mtu anaitwa mbwiga kuna haja ya kujua cv yake cv yake ni mbwiga

HATARI PALEEEE MBiga wa mbwiguke ..wemberu wemberu sako la nyani ngedere hawakosi ,eee ndio mbwiga umeona wapi sanamu likaamkiwa...? BIG UP MBWIGA WANAO KUDIS WANAKUBALI KAZI YAKO...ET CV ..wewe cv ndio inatangaza ? hata kauweledi kakuzaliwa kanatosha VYETI vyenyewe mnafoji ...UKIONA TANGAZO LIMECHANWA UJUE LISHASOMWA...mbona kuna host kibao wafanya pumba kwenye tv/radio staions ,ACHEN HIZO BANDUGU KILA MBUZI ATAKULA KWA UREFU WA KAMBA YAKE ....Wenye vimastars baadhi tunasota na wenye std 7mjiin na wengine std7 wametusua kuliko..... KUMDISCUSS MTU AMBAYE ANAREKEBISHA NJIA YA CHOONI ISIOTE NYASI NI UMBURURA NA SIO BURE UTAKUWA UMEVURUGWA .....MBWIGA UPO JUU ....
,
 
Habari wana JF, hii asubuhi Mbwiga ameshindwa ku peruzi magazeti Clouds fm, sidhani hata kama darasa la saba alimaliza, mwenye CV yake atujuze tafadhari.
Nawakilisha.

kumbe na ww umeliona hl...!!!
 
mbwina ni mshereheshaji kama mwana jf mmoja alivotangulia kusema na mie naona anafiti sana kwenye ushereheshaji hiyo haihitaji kuwa na cv na vilevile ana kipaji manake tangia amekua hapo clouds fm kapata umaarufu mkubwa sana ila tuache kuwadharau wenye elim ya kiwango cha std seven hata na yenyewe ni elim tunawaona wengi tu mitaani kwetu wanamaisha mazuri kuliko hata hao wenye degree na masters na kusoma sana sio kuelimika hao mnaowaita wasomi ndio wameifikisha nchi hapa tulipo vilio kila kukicha halafu mie nina imani mbwiga atafika mbali fuatilia historia ya LARRY KING alikoanzia mpaka alipofikia kwahiyo kila kitu sio lazima mpaka uwe na cv kubwa nawapongeza clouds fm kwa kutokua na ubaguzi wa elim katika ajira
 
Mbwiga wa mbwiguke ndo habari ya mjini wenye roho mbaya mtatembea na mibahasha ya khaki kila uchwao mkitafuta ajira mbwiga mtamuwezea wapi? Roho mbaya tu
 
Back
Top Bottom