Kiranga
Platinum Member
- Jan 29, 2009
- 85,909
- 146,053
si umesema mji lazima ujengwe kwa kuzingatia mipango, na wao wawe wamepata vibali kutoka kwa mamlaka husika..,hao watoa vibali na mamlaka husika au wanaohusika na mipango miji ni nani kama sio SERIKALI?....USIWE KICHWA MAJI yani kama tz tuna mijitu mingi isiyofikiria kama wewe itachukua mda mrefu sana hadi kuendelea
Kwamba mji ni lazima ujengwe kwa kuzingatia mipango, na ni lazima kuwe na mamlaka husika bado haijamaanisha kwamba Tanzania kuna serikali.
Inawezekana mji haufuati mipango kwa sababu mamlaka husika hazifanyi kazi, in an endless vicious cycle of degeneration.
Yours is a logical non-sequitur.
Nikisema nafanya party, all white affair, kuja ni lazima uwe umevaa nguo nyeupe, hilo halimaanishi nimesema unayo nguo nyeupe. Inawezekana huna na tangazo langu litakusaidia kununua nguo nyeupe uje kwenye party.
Unachosema wewe ni kwamba, kwa vile nimesema kuja kwenye party ni lazima uvae nguo nyeupe, basi nimesema unayo nguo nyeupe.
Tofauti.
Kuna mjinga mwingine alinitukana kwa kuniita kichwa maji hivyo hivyo kama wewe.
Wataalam wa ubongo wanasema ubongo una maji takriban 78%
Nani anakurupuka sasa?
Labda kichwa chako kina ukosefu wa maji.