Nanyie subirini kuona tutakavyo wachoma moto hao jamaa zenu wezi mnao waabudu kama vile wana ngozi za chuma hawaumii!namkubali sana kaka yangu zembwela ila kwa hili yupo wrong na hao waliovunja..,.mnajua madhara yake, ngojeni roba za mbao, kuibiwa visim vyenu
Mji lazima ujengwe kwa kuzingatia mipango, si vibanda kuota kama uyoga tu.
Kama walijenga kwa vibali na ruhusa zote za mamlaka na wafungue kesi kudai haki zao.
kwani hivyo vibanda vimeshuka toka mbinguni gafla kama malaika? Wakati wanaanza kujenga serikali ilikua wapi hadi vimejaa ndio wanataka kuwasumbua...TUMIA AKILI UNAPO COMMENT KWENYE THREAD YANGU USIKURUPUKE KAMA UMEFUMANIWA......
eti wewe ndo umefanya juhudi hadi vibanda vingi mwenge vimevunjwa kupitia kipindi chako cha SUPERMIX....unapofanya kitu chochote lazima uangalie hasara na faida kama hasara ni kubwa kuliko faida huna budi kuacha....jiulize hawa watu na vibanda vyao walivyokua walikua wanatupunguzia nini na wameondoka tutaongezekewa na nini na wataenda wapi!....WENGI MTANIPINGA ILA HUU NDIO UKWELI ZEMBWELA HAYUPO SAHIHI KWA KUSUPPORT HILI.......kama kweli ni mchakarikaji afuatilie kesi za mafisadi na zingne zinazohusu wizi wa meno ya tembo na wanyama wengne unaofanywa na mafisadi AFUATILIE WAPELEKWE MAHAKAMANI NA ATULETEE FEEDBACK KUA WAMEFUNGWA NA SI KUHANGAIKA NA WATU KAMA WAMACHINGA WANAOKULA KWA JASHO LAO...
Wenye mavyeti wabajua kubana sauticna kuuza mbunye tuNa sidhani kama Zembwela ana Diploma au Shahada ya uandishi wa habari lakini ni mtendaji kuliko hao wenye ma vyeti
kwani hivyo vibanda vimeshuka toka mbinguni gafla kama malaika? Wakati wanaanza kujenga serikali ilikua wapi hadi vimejaa ndio wanataka kuwasumbua...TUMIA AKILI UNAPO COMMENT KWENYE THREAD YANGU USIKURUPUKE KAMA UMEFUMANIWA......
Kosa moja halihalalishi kufanyika kwa kosa jingine. Kama mamlaka za Jiji zilizembea kuzuia ujenzi holela, hilo ni kosa, lakini haina maana kwamba mtu mwingine ana ruhusa ya kufanya kosa la kujenga bila utaratibu!Hivi, mpaka hao watu wakajenga hivyo vibanda na kuanza kuendesha shughuli zao hapo, wahusika wenye dhamana na mamlaka walikuwa wapi?
Manake kilichotokea ni kuadhibu watu kwa makosa na uzembe wa wengine. Siyo haki hata kidogo.
Wapi nimesema Tanzania tuna serikali?
Kwamba Tanzania hakuna serikali hakuondoi ukweli kwamba kujenga holela ni vibaya na hakuteteeki.
Two wrongs do not make a right.
Nani kakurupuka sasa?
wa ukweli kipindi chake kinaitwa ,mtaani kwetu.eti wewe ndo umefanya juhudi hadi vibanda vingi mwenge vimevunjwa kupitia kipindi chako cha SUPERMIX....unapofanya kitu chochote lazima uangalie hasara na faida kama hasara ni kubwa kuliko faida huna budi kuacha....jiulize hawa watu na vibanda vyao walivyokua walikua wanatupunguzia nini na wameondoka tutaongezekewa na nini na wataenda wapi!....WENGI MTANIPINGA ILA HUU NDIO UKWELI ZEMBWELA HAYUPO SAHIHI KWA KUSUPPORT HILI.......kama kweli ni mchakarikaji afuatilie kesi za mafisadi na zingne zinazohusu wizi wa meno ya tembo na wanyama wengne unaofanywa na mafisadi AFUATILIE WAPELEKWE MAHAKAMANI NA ATULETEE FEEDBACK KUA WAMEFUNGWA NA SI KUHANGAIKA NA WATU KAMA WAMACHINGA WANAOKULA KWA JASHO LAO...