kama nia ni kupisha magari ya mwendo kasi je hayo magari yatajaa dar yote?Mara boda boda mara stendi bado daladala ili kupisha mwendokasi
eti wewe ndo umefanya juhudi hadi vibanda vingi mwenge vimevunjwa kupitia kipindi chako cha SUPERMIX....unapofanya kitu chochote lazima uangalie hasara na faida kama hasara ni kubwa kuliko faida huna budi kuacha....jiulize hawa watu na vibanda vyao walivyokua walikua wanatupunguzia nini na wameondoka tutaongezekewa na nini na wataenda wapi!....WENGI MTANIPINGA ILA HUU NDIO UKWELI ZEMBWELA HAYUPO SAHIHI KWA KUSUPPORT HILI.......kama kweli ni mchakarikaji afuatilie kesi za mafisadi na zingne zinazohusu wizi wa meno ya tembo na wanyama wengne unaofanywa na mafisadi AFUATILIE WAPELEKWE MAHAKAMANI NA ATULETEE FEEDBACK KUA WAMEFUNGWA NA SI KUHANGAIKA NA WATU KAMA WAMACHINGA WANAOKULA KWA JASHO LAO...
kama nia ni kupisha magari ya mwendo kasi je hayo magari yatajaa dar yote?
Teh teh teh nasikia umeteuliwa kukaa naye mpaka aondoke
Kwamba mji ni lazima ujengwe kwa kuzingatia mipango, na ni lazima kuwe na mamlaka husika bado haijamaanisha kwamba Tanzania kuna serikali.
Inawezekana mji haufuati mipango kwa sababu mamlaka husika hazifanyi kazi, in an endless vicious cycle of degeneration.
Yours is a logical non-sequitur.
Nikisema nafanya party, all white affair, kuja ni lazima uwe umevaa nguo nyeupe, hilo halimaanishi nimesema unayo nguo nyeupe. Inawezekana huna na tangazo langu litakusaidia kununua nguo nyeupe uje kwenye party.
Unachosema wewe ni kwamba, kwa vile nimesema kuja kwenye party ni lazima uvae nguo nyeupe, basi nimesema unayo nguo nyeupe.
Tofauti.
Kuna mjinga mwingine alinitukana kwa kuniita kichwa maji hivyo hivyo kama wewe.
Wataalam wa ubongo wanasema ubongo una maji takriban 78%
Nani anakurupuka sasa?
Labda kichwa chako kina ukosefu wa maji.
tutaanza kupiga miayo tu sasa..:A S embarassed:
tatizo watanzania ni mabingwa wakufanya makosa na kuvunja sheria then tunamazoea ya kuzoea na kujijengea tabia ya kuvunja sheria na linapokuja swala la kuwajibishwa hugeuka kuwa mbogo.
MKUU tukiachana na serikali pale MWENGe kuna wafanyabiashara wamepanga flem kwa mwezi wanalipa laki 5 na bado tra wanalipa kodi na biashara wanayofanya au bidhaa wanazo uza wao ni sawa kabisa na wanazo uza hao wenyevibanda na meza tena wengine wanapanga biashara mlangoni kabisaa.
wao wanatoa Hera kwa kesi na viongozi WA ccm wanagawana na wao ndio wanauza zaidi ya wenye maduka sasa jee haki yawanye maduka IPO wapi??
na mwisho kila sehem inakazi yake .
wafanya biashara wanaiharibu sana stend ya MWENGE .ukifika jioni wanatandika biashara mpaka getini yanapoingilia magari unaweza ukafika bamaga ukakutana na foleni likisababishwa na daladala zinazoingia STENDI zinazotoka BAGAMOYO rod nazinazotokea bamaga ndani hakuna nafasi .
jeee nikipi kwetu ni chema.