Mweee!

Mweee!

Kachamba watu eti anaonewa wivu hajali chochote yeye kaingiza hela. Nikajiuliza hyo photo shoot gani kapauka ka kambale kwenye matope. Itakua kaiga hafu akajipiga na mchina simu huyu.

Madai yake hapo alikua kwenye photo shoot? nimecheka eti kapauka ka kambale LOL
 
Zikiwa zimebaki siku chache ili star wa Bongo Movie Ant Ezekiel ajifungue,ametumia kurasa zake za mitandao ya kijamii kuonyesha mashabiki wake maendeleo ya ujauzito wake hadharani ImageUploadedByJamiiForums1432016301.147409.jpg

Ujauzito huo ambao ulizua utata kuwa anaweza kuwa alipewa na mwanasiasa kijana na Waziri ktk serikali ya awamu ya nne,lakini baadae imethibitika kuwa ujauzito huo ni wa mmoja wa madancer wa Mwanamuziki Diamond.
ImageUploadedByJamiiForums1432016451.640204.jpg
 
Mkuu Husikurupuke Ka Ushuzi Wa Gesi Ya Minyoo.Hii Taarifa Tayari Himo Humu.

Check Thread Yenye Title Mweee!. Page1/Page2.Labda Umeleta Ili Ziunganishwe.
 
Mkuu Husikurupuke Ka Ushuzi Wa Gesi Ya Minyoo.Hii Taarifa Tayari Himo Humu.

Check Thread Yenye Title Mweee!. Page1/Page2.Labda Umeleta Ili Ziunganishwe.

Husikurupuke=Usikurupuke....we ndio umekurupuka kama kimba ya fisi
 
Usupastar bhana... Hadi mimba zinaonyeshwa na tumbo la wazi? Hatari sana:what::what::what:
 
Back
Top Bottom