Mweee!

Mweee!

Wanalazimisha watoto kufanya mambo wanayotaka wao, mbaya sana.
 
Mmmmmmmh
 

Attachments

  • 1431824106353.jpg
    1431824106353.jpg
    11.6 KB · Views: 466
nilikuwa siamini kama huyu demu ana papuchi hadi nilipoona ameshika mimba, wengi walikuwa wanasema ni shemale kutokana na jina lake. ni mojawapo ya watu takataka niliowadharau, akiwa na mwenzie aliyepigwa chini na domo.

Kwan ni nani huyo?
 
Kachamba watu eti anaonewa wivu hajali chochote yeye kaingiza hela. Nikajiuliza hyo photo shoot gani kapauka ka kambale kwenye matope. Itakua kaiga hafu akajipiga na mchina simu huyu.

Diva unaniruhusi nichekeeee
 
Last edited by a moderator:
samahani wakuu hivi huyu chizi ni mimba yake ya kwanza ama?
 
Hahahahaa halafu Ant kawa mbaya jamani! Hizo makeup anazopaka uso unang'aa lakini shingo nyeusi kama pua ya mbwa sijui haoni hilo?

Shingo nyeusi inawezekana kwa sababu ya mimba. Ikiwa Na mimba mara nyingi sehemu za shingoni, matiti Na hata tumboni hupiga weusi
 
hivi ikitokea bahati mbaya yani mtoto asiwe riziki yake sijue ataficha wapi washavu yake
 
Back
Top Bottom