nilikuwa siamini kama huyu demu ana papuchi hadi nilipoona ameshika mimba, wengi walikuwa wanasema ni shemale kutokana na jina lake. ni mojawapo ya watu takataka niliowadharau, akiwa na mwenzie aliyepigwa chini na domo.
Hakuna mastaa wanaoniboa kama wa kitanzaia....yaani kila mwenye smartphone siku hizi anajiita staa. Atajipiga picha za makalio ama kulalamika kwanini aliwi uroda makalioni na kujibandika fesibuku kisha watu wamtaje tu na kumjadili mjini ili apate mtu wa kumtunza na kumuweka mjini. Shidaaaaaa.
Tatizo hii mitandao watu wameingia vibaya. Hata hawajiulizi walioyengeneza wao hawafanyi hayo na hizo mbwembwe ila wao watumiaji ni hatari, hata hawajui ubaya wa kile anachoweka hapo
Katika maisha kuna mambo ambayo mtu hajayategemea...kupata mimba wakat ushachezea kizazi sana ni jambo la ajabu kwa hiyo siyo kumshangaa...mwenzenu haamini
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.