DOKEZO Mwauwasa Mwanza hamuyaoni maji haya?

DOKEZO Mwauwasa Mwanza hamuyaoni maji haya?

Hili ni dokezo maalum toka kwa mwananchi mtumiaji wa JF mwenye nia ya kuusaidia umma kuwa na taarifa 'maalum'

Magangati

Member
Joined
Jul 15, 2022
Posts
33
Reaction score
31
Hili ni bomba la maji lililosahaulika kutoka enzi za Zakhiem wakati wa ujenzi wa barabara. Liko maeneo ya Mkolani Nida.

Limekuwa kero maana maji yanatiririka muda wote na kutuama kama bwawa.Inasemekana mamlaka inataarifa na hili lakini haijachukua hatua ya kulifunga bomba hilo labda kwa sababu halileti hasara kwao ingawa ni kero Kwa maeneo hayo kwani linasababisha ardhi inakuwa chepechepe muda wote maeneo hayo.
IMG20250731074148.jpg
 
Back
Top Bottom